From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the meaning of the word to provoke him
maana ya neno kumuasa
Last Update: 2020-01-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
will it provoke law enforcement agencies into action?
je, itasababisha taasisi za kisheria kuchukua hatua?
Last Update: 2023-08-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
do we provoke the lord to jealousy? are we stronger than he?
au je, tunataka kumfanya bwana awe na wivu? mnadhani tuna nguvu zaidi kuliko yeye?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and let us consider one another to provoke unto love and to good works:
tujitahidi kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana bidii ya kupendana na kutenda mema.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this theory of pritchett and magric certainly has a contentious side that aims to provoke a debate.
nadharia hii ya pritchett na magric bila ya shaka ina upande tata ambao una nia ya kuchokoza mdahalo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if by any means i may provoke to emulation them which are my flesh, and might save some of them.
nipate kuwafanya wananchi wenzangu wawaonee ninyi wivu, na hivyo nipate kuwaokoa baadhi yao.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for some, when they had heard, did provoke: howbeit not all that came out of egypt by moses.
ni akina nani basi, waliosikia sauti ya mungu wakamwasi? ni wale wote walioongozwa na mose kutoka misri.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pharaoh sought to provoke them so that they would leave the land, but we drowned him, together with all who were with him.
basi firauni akataka kuwafukuza katika nchi. kwa hivyo tukamzamisha yeye na walio kuwa pamoja naye wote.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and, ye fathers, provoke not your children to wrath: but bring them up in the nurture and admonition of the lord.
nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya kikristo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
satan wants to provoke strife and hatred among you through intoxicants and gambling, and to prevent you from the remembrance of god, and from prayer.
hakika shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni kumkumbuka mwenyezi mungu na kusali.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if a provocation from satan should provoke thee, seek refuge in god; he is all-hearing, all-seeing.
na uchochezi wa shet'ani ukikuchochea basi omba ulinzi wa mwenyezi mungu. hakika yeye ni msikizi, mjuzi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if a provocation from satan should provoke thee, seek refuge in god; he is the all-hearing, the all-knowing.
na shet'ani akikuchochea kwa uchochezi wewe jikinge kwa mwenyezi mungu. hakika yeye ni mwenye kusikia, mwenye kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but i say, did not israel know? first moses saith, i will provoke you to jealousy by them that are no people, and by a foolish nation i will anger you.
tena nauliza: je, yawezekana kwamba watu wa israeli hawakufahamu? mose mwenyewe ni kwa kwanza kujibu: "nitawafanyeni mwaonee wivu watu ambao si taifa; nitawafanyeni muwe na hasira juu ya taifa la watu wapumbavu."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and o listener! if the devil provokes you, seek the refuge of allah; indeed he is all hearing, all knowing.
na uchochezi wa shet'ani ukikuchochea basi omba ulinzi wa mwenyezi mungu. hakika yeye ni msikizi, mjuzi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: