Results for quarrel translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

what do they quarrel about?

Swahili

wanaulizana nini?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

white people quarrel you youtube

Swahili

wazungu waki tombana you youtube

Last Update: 2020-08-28
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

English

there is no quarrel between us and you.

Swahili

hapana kuhojiana baina yetu na nyinyi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

they made us quarrel and fight among ourselves

Swahili

wametufanya tusielewane na tugombane sisi wenyewe

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

let there be no quarrel between us and you.

Swahili

sisi tuna jukumu kwa vitendo vyetu, na nyinyi mna jukumu kwa vitendo vyenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

god will say, "do not quarrel in my presence.

Swahili

(mwenyezi mungu) aseme: msigombane mbele yangu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

obey god and his messenger. do not quarrel with each other lest you fail or lose honor.

Swahili

na mt'iini mwenyezi mungu na mtume wake, wala msizozane mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. na subirini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and if they quarrel with you, say, “allah well knows your evil deeds.”

Swahili

na wakikujadili basi sema: mwenyezi mungu anajua zaidi mnayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

there they will quarrel with one another and the erring ones will say (to their deities):

Swahili

watasema, na hali ya kuwa wanazozana humo:

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he will say: do not quarrel in my presence, and indeed i gave you the threatening beforehand:

Swahili

(mwenyezi mungu) aseme: msigombane mbele yangu. nilikuleteeni mbele onyo langu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and obey allah and his messenger, and do not quarrel with one another lest you should lose courage and your power depart.

Swahili

na mt'iini mwenyezi mungu na mtume wake, wala msizozane mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

like unto their word is what those say who know not; but allah will judge between them in their quarrel on the day of judgment.

Swahili

na kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. basi mwenyezi mungu atahukumu baina yao siku ya kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitilafiana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

forbearing one another, and forgiving one another, if any man have a quarrel against any: even as christ forgave you, so also do ye.

Swahili

vumilianeni na kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. mnapaswa kusameheana kama bwana alivyowasamehe ninyi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and obey allah and his apostle and do not quarrel for then you will be weak in hearts and your power will depart, and be patient; surely allah is with the patient.

Swahili

na mt'iini mwenyezi mungu na mtume wake, wala msizozane mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. na subirini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

if you should quarrel on anything, refer it to god and the messenger, if you believe in god and the last day; that is better, and fairer in the issue.

Swahili

na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa mwenyezi mungu na mtume, ikiwa mnamuamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho. hayo ndiyo bora zaidi na ndiyo yenye mwisho mwema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as they quarrel in the fire, the weak will say to those who were arrogant, “we were followers of yours; will you then spare us a portion of the fire?”

Swahili

na watapo hojiana huko motoni, wanyonge watawaambia walio jitukuza: hakika sisi tulikuwa wafuasi wenu, basi je, hamtuondolei sehemu ya huu moto?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and obey god, and his messenger, and do not quarrel together, and so lose heart, and your power depart; and be patient; surely god is with the patient.

Swahili

na mt'iini mwenyezi mungu na mtume wake, wala msizozane mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. na subirini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and if two parties of the believers quarrel, make peace between them; but if one of them acts wrongfully towards the other, fight that which acts wrongfully until it returns to allah's command; then if it returns, make peace between them with justice and act equitably; surely allah loves those who act equitably.

Swahili

na ikiwa makundi mawili katika waumini yanapigana, basi yapatanisheni. na likiwa moja la hao linamdhulumu mwenzie, basi lipigeni linalo dhulumu mpaka lirejee kwenye amri ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,880,930,945 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK