Results for realised translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

with a realised understanding of our objectives

Swahili

kwa kutambua malengo yetu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"and that i had never realised how my account (stood)!

Swahili

wala nisingeli jua nini hisabu yangu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

so our lord's word is realised against us; we are tasting it.

Swahili

basi hukumu ya mola wetu mlezi imekwisha tuthibitikia. hakika bila ya shaka tutaonja tu adhabu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

even so the word of thy lord was realised against the unbelievers, that they are the inhabitants of the fire.

Swahili

namna hivi limewathibitikia makafiri neno la mola wako mlezi ya kwamba wao ni watu wa motoni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we realised that we could not weaken the power of god on earth, nor outpace him by running away.

Swahili

nasi tulijua kuwa hatutomshinda mwenyezi mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we called them to account of a sudden, while they realised not (their peril).

Swahili

basi kwa ghafla tukawashika, hali ya kuwa hawajatambua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

have they not realised that god knows their secrets and their confidential talk, and that god has the knowledge of unknown things?

Swahili

je, hawajui kwamba mwenyezi mungu anajua siri zao na minong'ono yao, na kwamba mwenyezi mungu ni mwenye kuyajua sana ya ghaibu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

have they not realised that allah, who did not tire in creating the heavens and the earth and in creating them, is able to revive the dead?

Swahili

je! hawaoni ya kwamba mwenyezi mungu, aliye ziumba mbingu na ardhi, na hakuchoka kwa kuziumba, kuwa ni muweza wa kuwafufua wafu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

those against whom the word will be realised will say: "our lord, these are the ones whom we led astray just as we ourselves strayed.

Swahili

watasema wale iliyo thibiti juu yao kauli: mola wetu mlezi! hawa ndio tulio wapoteza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

thereupon dawud realised that we had tested him, so he sought forgiveness from his lord, and fell prostrate and inclined (towards his lord).

Swahili

na hao ni wachache. na daudi akajua kuwa tumemfanyia mtihani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when they repented and realised that they had gone astray, they said, “if our lord does not have mercy on us and forgive us, we are ruined.”

Swahili

na walipo juta na wakaona ya kwamba wamekwisha potea, walisema: ikiwa mola wetu mlezi hakuturehemu na akatusamehe, bila ya shaka tutakuwa miongoni mwa walio khasiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he has turned with mercy to the three whose case was deferred, when the earth, for all its spaciousness, closed in upon them, and their own souls seemed straitened to them and they realised that there was no refuge from god except in him.

Swahili

na pia wale watatu walio achwa nyuma hata dunia wakaiona dhiki juu ya ukunjufu wake, na nafsi zao zikabanika, na wakayakinika kuwa hapana pa kumkimbia mwenyezi mungu isipo kuwa kwake yeye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the kenya vision 2030 aims to ensure all kenyans achieve a high quality of life in a newly industrialised country with a higher middle income economic status. kenya has realised a lower middle income economic status, enabling it to reach the take off stage, especially when the economic benefits of the significant infrastructural facilities laid down in the past decade bear fruits.

Swahili

dira ya kenya 2030 inalenga kuhakikisha wakenya wote wanapata maisha bora katika nchi mpya iliyoendelea kiviwanda na hali ya juu ya uchumi wa kipato cha kati. kenya imefikia hali ya chini ya uchumi wa kipato cha kati, na kuiwezesha kufikia hatua, hasa wakati manufaa ya kiuchumi ya miundombinu muhimu iliyowekwa katika muongo mmoja uliopita yanazaa matunda.

Last Update: 2022-02-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,910,487,487 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK