Results for rebuke translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and do not rebuke the beggar.

Swahili

na anaye omba au kuuliza usimkaripie!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they imagine every rebuke to be directed against them.

Swahili

wao hudhania kila ukelele unao pigwa ni kwa ajili yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

them that sin rebuke before all, that others also may fear.

Swahili

wale wanaotenda dhambi waonye hadharani, ili wengine wapate kuogopa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he spake that saying openly. and peter took him, and began to rebuke him.

Swahili

yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. basi, petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and some of the pharisees from among the multitude said unto him, master, rebuke thy disciples.

Swahili

hapo baadhi ya mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu, wakamwambia yesu, "mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

as many as i love, i rebuke and chasten: be zealous therefore, and repent.

Swahili

mimi ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. kwa hiyo kaza moyo, achana na dhambi zako.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the empirical results and commentary indicate a rare rebuke of the traditional employment system by the government.

Swahili

matokeo na maoni yanayopimika yanaashiria uwepo mdogo sana wa uzuiaji unaofanywa na serikali wa mfumo wa ajira wa kimapokeo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

these things speak, and exhort, and rebuke with all authority. let no man despise thee.

Swahili

basi, fundisha mambo hayo na tumia mamlaka yako yote ukiwahimiza na kuwaonya wasikilizaji wako. mtu yeyote na asikudharau.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this witness is true. wherefore rebuke them sharply, that they may be sound in the faith;

Swahili

naye alitoboa ukweli kwa sababu hiyo, unapaswa kuwakaripia vikali, ili wawe na imani kamilifu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

rebuke not an elder, but intreat him as a father; and the younger men as brethren;

Swahili

usimkemee mtu mzee, bali msihi kama vile angekuwa baba yako. watendee vijana kama ndugu zako,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they two seek allah's aid, (and rebuke the son): "woe to thee!

Swahili

na hao wazazi humwomba msaada mwenyezi mungu (na humwambia mtoto wao): ole wako!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

he said, “do not rebuke me for forgetting, and do not make my course difficult for me.”

Swahili

(musa) akasema: usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if either or both of them attain old age with you, say no word of contempt to them and do not rebuke them, but always speak gently to them

Swahili

mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: ah! wala usiwakemee.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

moses said: "rebuke me not for forgetting, nor grieve me by raising difficulties in my case."

Swahili

(musa) akasema: usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

take heed to yourselves: if thy brother trespass against thee, rebuke him; and if he repent, forgive him.

Swahili

jihadharini! kama ndugu yako akikukosea, mwonye; akitubu, msamehe.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then peter took him, and began to rebuke him, saying, be it far from thee, lord: this shall not be unto thee.

Swahili

hapo petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: "isiwe hivyo bwana! jambo hili halitakupata!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

preach the word; be instant in season, out of season; reprove, rebuke, exhort with all longsuffering and doctrine.

Swahili

hubiri huo ujumbe, sisitiza kuutangaza (iwe ni wakati wa kufaa au wakati usiofaa), karipia, onya na himiza watu ukiwafundisha kwa uvumilivu wote.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

yet michael the archangel, when contending with the devil he disputed about the body of moses, durst not bring against him a railing accusation, but said, the lord rebuke thee.

Swahili

hata mikaeli, malaika mkuu, hakufanya hivyo. katika ule ubishi kati yake na ibilisi waliobishana juu ya mwili wa mose, mikaeli hakuthubutu kumhukumu ibilisi kwa matusi; ila alisema: "bwana mwenyewe na akukaripie."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

while they (father and mother) invoke allah for help (and rebuke their son): "woe to you!

Swahili

na hao wazazi humwomba msaada mwenyezi mungu (na humwambia mtoto wao): ole wako!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

if either or both of them attain old age with you, do not say: "fieon you", nor rebuke them, but speak to them with words of respect.

Swahili

mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: ah! wala usiwakemee.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK