Results for recently translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

recently

Swahili

mchambuzi wa ubora

Last Update: 2023-06-20
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i have recently become very

Swahili

karibu sana

Last Update: 2023-10-11
Usage Frequency: 2
Quality:

English

for example they recently tweeted:

Swahili

kwa mfano wao hivi karibuni walitwiti:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meta.mk news agency recently reported:

Swahili

meta.mk ambalo ni wakala wa habari, siku za hivi karibuni lilitaarifu kuwa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

until recently, chadema considered lowassa corrupt and unprincipled.

Swahili

hadi kipindi cha hivi karibuni, chadema ilikuwa ikimuona lowassa kama fisadi na mtu alisiyeoongozwa na misingi inayoeleweka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

other media critical of the government have been shut down recently.

Swahili

baadhi ya vyombo vya habari vinavyoikosoa serikali vimefungiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a dictionary of honduran indigenous languages was recently released online .

Swahili

kamusi ya lugha za asili nchini honduras ilisambazwa mtandaoni hivi karibuni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

recently there has been a lot of discussion about sexual abuse laws.

Swahili

hivi karibuni kumekuwepo na majadiliano mengi kuhusu sheria za kudhibiti vitendo vya ukatili vya ngono.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

recently, the rule of law has been taking a beating by this pp government.

Swahili

hivi karibuni, masuala ya utawala wa sheria yamekuwa yamekuwa yakitawala serikali iliyoko madarakani.

Last Update: 2023-11-10
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we are coming. it's a typo for twaja that grew into popularity recently

Swahili

twasija

Last Update: 2023-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

more recently, alpaca coronavirus and human coronavirus 229e diverged sometime before 1960.

Swahili

vya hivi majuzi zaidi, virusi vya korona vya alpaca na virusi vya korona vya mwanadamu 229e vilitengana kabla ya 1960.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in recognition of his success, the zambian government recently accorded him permanent residence.

Swahili

ili kutambua mafanikio yake hayo, serikali ya zambia hivi karibuni ilimtunuku ukaazi wa kudumu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ato kwamena dadzie recently wrote in his post, "a president under siege":

Swahili

ato kwamena dadzie hivi karibuni aliandika kwenye makala yake, “rais aliyezingirwa?”:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

he was recently in south africa after having visited senegal and tanzania next after south africa.

Swahili

hivi karibuni alikuwa nchini afrika kusini baada ya kutembelea senegali na baadae tanzania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

recently, malema led students in singing an old anti-apartheid struggle song called kill the boer.

Swahili

hivi karibuni, aliwaongoza wanafunzi katika kuimba wimbo wa zamani wa kupinga ubaguzi wa rangi unaoitwa ua kaburu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

although death sentences have been given for crimes as recently as 2003, togo has not carried out an execution since 1978.

Swahili

japokuwa adhabu ya kifo imekuwa ikitolewa kwa ajili ya makosa hadi kufikia mwaka 2003, togo haijawahi kuitekeleza adhabu hiyo tangu mwaka 1978.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a former roman catholic bishop, fernando lugo, was recently sworn in as the new president of paraguay on august 15.

Swahili

askofu wa zamani wa kanisa katoliki, fernando lugo, hivi karibuni aliapishwa kama rais mpya wa paraguai, tarehe 15 agosti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a group of scholars and professors from the school produced a video with their stories, which was recently released by narco news tv.

Swahili

kundi la wanazuoni na maprofesa kutoka katika shule hiyo waliandaa video yenye masimulizi ya watu hawa, ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na kituo cha televisheni kiitwacho narco news tv.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but she's recently returned and working on the issue of telefa, hoping to keep girls from facing an ordeal like she did.

Swahili

hata hivyo, hivi karibuni alirudi nyumbani na kuendeleza harakati za kupambana na mila hiyo ya telefa, alitumaini kuwakinga wasichana na mikasa kama aliyokumbana nayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"the dinosaurs" is the name given by some of the lebanese e-activists to the politicians in lebanon recently.

Swahili

“dinosauri” ni jina wanalopewa wanasiasa na wanaharakati wa mtandaoni siku hizi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,650,993,646 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK