Results for referring translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

these show that many bloggers are interested in rz and referring to us.

Swahili

hiyo inaonyesha kwambakwamba mabloga wengi wanavutiwa na rz na wanatuunganisha kwa viungo hivyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and i am not just referring to those of us who are slapped in the face or raped.

Swahili

na mimi simaanishi tu wale wa kwetu ambao hupigwa kofi kwa uso au kubakwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

referring to what happened in cameroon during the war of independence in the country, he adds:

Swahili

akirejea kile kilichotokea kameruni wakati wa vita vya kupigania uhuru nchini humo, anaongeza:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this is my sister in law. usually referring to the sister in law of a married woman. by

Swahili

huyu ni wifi yangu

Last Update: 2023-11-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

referring to the statements by president piñera, journalist and blogger francisco méndez (@franmen) pointed out:

Swahili

akirejea matamko ya rais piñera, mwandishi wa habari na mwanablogu francisco méndez (@franmen) anafafanua kuwa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

referring to the recent removal of the colonialist statue of cecil rhodes at the university of cape town in south africa, ashley mendelowitz tweeted:

Swahili

akirejelea tukio la hivi karibuni la kuondolewa kwa sanamu ya kikoloni ya cecil rhodes katika chuo kikuu cha cape town nchini afrika ya kusini, ashley mendelowitz alitwiti:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lumad is a collective term referring to the indigenous tribes in mindanao, the philippines’ second biggest island located in the southern part of the country.

Swahili

lumad ni neno linalotumika kutambulisha makabila ya wazawa wa mindanao, kisiwa cha pili kwa ukubwa nchini ufilipino kilichopo upande wa kusini wa nchi hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

cases like these are known as ‘nail houses’, referring to homeowners who refuse to move from demolition zones, usually because of disagreement with the compensation offered.

Swahili

visa kama hivi vinajulikana kama 'nyumba za misumari', yaani ikimaanisha wenye nyumba wanaogoma kuhama kutoka katika maeneo yanayotakiwa kuvunjwa, mara nyingi ni kutokana na kutokubaliana kwao na kiwango cha fidia kinachotolewa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

what i am referring to is why not put one or four good wireless network adapters so anyone can have access from home with a smartphone, pc, laptop, etc. to the web with similar speed to those in etecsa centers.

Swahili

ninachokimaanisha hapa ni kuwa, ni kwa nini wasiweke chanzo kimoja au vinne vya mtandao wa intaneti wa si-waya ili kila mmoja aweze kupata huduma ya intaneti akiwa nyumbani kwake kupitia simu yake, ngamizi ya kawaida, ngamizi mpakato n.k ikiwa na kasi ifananayo na ile inayopatikana katika vituo vya etecsa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lebanese media has no decency or any sense of ethics, they're already referring to the missing ppl as "dead" #et409 #lebanon

Swahili

vyombo vya habari vya lebanoni havina ustaarabu au aina yoyote ya maadili, tayari vinawaita watu ambao hawajapatikana kama “waliokufa” #et409 #lebanon

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

"who's next for liquidation?" - a poster at today's journalist protest in skopje, referring to the official code name of the operation ("liquidation"), in which journalist tomislav kezarovski was captured along with others on may 28.

Swahili

"nani anayefuata kufilisiwa?" - bango katika maandamano ya leo ya wandishi wa habari mjini skopje, akimaanisha jina la kificho kwa mpango unaoendelea ("kufilisi"), ambapo mwandishi wa habari kezarovski tomislav alikamatwa pamoja na watu wengine mnamo mei 28.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,875,606,341 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK