Results for rehearsing translation from English to Swahili

English

Translate

rehearsing

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

an apostle from allah rehearsing writs cleansed.

Swahili

yaani mtume aliye toka kwa mwenyezi mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

an messenger from allah, rehearsing scriptures kept pure and holy:

Swahili

yaani mtume aliye toka kwa mwenyezi mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he it is who hath raised amdist the unlettered ones an apostle from among themselves, rehearsing unto them his revelations and purifying them and teaching them the book and wisdom, though they have been aforetime in error manifest.

Swahili

yeye ndiye aliye mpeleka mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee aya zake na awatakase, na awafunze kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nor was thy lord the one to destroy a population until he had sent to its centre a messenger, rehearsing to them our signs; nor are we going to destroy a population except when its members practise iniquity.

Swahili

na mola wako mlezi haangamizi miji mpaka ampeleke mtume katika miji yake mikuu awasomee ishara zetu. wala hatuiangamizi miji mpaka watu wake wawe madhaalimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and its keepers will say, "did not messengers come to you from among yourselves, rehearsing to you the signs of your lord, and warning you of the meeting of this day of yours?"

Swahili

mpaka watakapo ifikia itafunguliwa milango yake, na walinzi wake watawaambia: kwani hawakukujilieni mitume miongoni mwenu wakikusomeeni aya za mola wenu mlezi na kukuonyeni mkutano wa siku yenu hii?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

(after the judgement has been passed) the unbelievers shall be driven in companies to hell so that when they arrive there, its gates shall be thrown open and its keepers shall say to them: “did messengers from among yourselves not come to you, rehearsing to you the signs of your lord and warning you against your meeting of this day?”

Swahili

na walio kufuru wataongozwa kuendea jahannamu kwa makundi. mpaka watakapo ifikia itafunguliwa milango yake, na walinzi wake watawaambia: kwani hawakukujilieni mitume miongoni mwenu wakikusomeeni aya za mola wenu mlezi na kukuonyeni mkutano wa siku yenu hii?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,228,065,635 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK