Results for renewal translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

renewal

Swahili

maombi ya upya mkataba

Last Update: 2023-12-05
Usage Frequency: 1
Quality:

English

till renewal to us part?

Swahili

mpaka mwisho wa mkataba utakapotutenganisha?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

relationship problems, but also a moment of renewal and bringing out your creative side.

Swahili

uhusia

Last Update: 2024-11-13
Usage Frequency: 1
Quality:

English

maybe you should propose daily renewal so that you can check their marriage status.

Swahili

pengine mngependekeza kujadidisha ndoa kila siku ili kwamba mfuatilie hali ya ndoa yao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

more and more, public opinion has urged the premier, chong chen, to revise the current urban renewal act .

Swahili

kumekuwa na ongezeko kubwa la maoni ya umma yanayomtaka waziri mkuu, chong chen, kupitia upya sheria ya sasa ya ufufuaji miji .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

taiwan: a family's forced eviction casts shadow on urban renewal act · global voices

Swahili

taiwan: kufukuzwa kwenye nyumba kwa nguvu kwa familia kwaitia dosari sheria ya ufufuaji miji

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the outrageous eviction of the wang family executed by taipei city government showed the public how fragile citizens' private rights is in front of the urban renewal projects.

Swahili

kitendo cha kinyama cha kufukuzwa kwa familia ya wang kilichofanywa na serikali ya jiji la taipei kiliuonyesha wazi umma jinsi haki za raia zilivyo tete mbele ya mradi wa ufufuaji miji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

hsieh-li wang pointed out that the current act allows construction companies to put forward an urban renewal plan even when the majority of the residents refuse to join this project:

Swahili

hsieh-li wang alionyesha jinsi sheria ya sasa inavyoyaruhusu makampuni ya ujenzi kuendelea na mipango ya ufufuaji miji hata pale ambapo wakazi wengi hawataki kujiunga kwenye mradi huo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

some said that this will be the answer here in philippines, since we don't have divorce and annulment takes time and lots of money... is renewal really the answer?

Swahili

wengine wanasema kuwa hilo ndilo jibu hapa philippines ambako hatuna talaka na kubatilisha ndoa kunachukua muda na pesa nyingi… je ujadidishaji ndiyo jibu la kweli?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

while the 25-year contract expired, the company perenco guatemala ltd is seeking its renewal, but environmentalists and activists are opposing to it strongly, organizing campaigns on facebook and other websites.

Swahili

wakati mkataba wa miaka 25 umekwisha, kampuni ya perenco guatemala ltd inaomba tena mkataba huo, lakini wanamazingira na wanaharakati wanapinga vikali, wakiandaa kampeni hizo kwenye facebook na tovuti nyingine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the magazine african renewal, hosted by the u.n., reports that four divisions of the public sector (ministers, agencies, provinces, and districts) and almost a third of the private sector have an online presence.

Swahili

jarida la african renewal, linalomilikiwa na umoja wa mataifa, liliandika kwamba maeneo manne ya sekta ya umma (mawaziri, mawakala, majimbo na wilaya) na takribani theluthi ya sekta binafsi imeunganishwa na mtandao wa intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,386,620 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK