Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
but he giveth more grace. wherefore he saith, god resisteth the proud, but giveth grace unto the humble.
lakini, neema tunayopewa na mungu ina nguvu zaidi; kama yasemavyo maandiko: "mungu huwapinga wenye majivuno lakini huwapa neema wanyenyekevu."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
whosoever therefore resisteth the power, resisteth the ordinance of god: and they that resist shall receive to themselves damnation.
anayepinga mamlaka ya viongozi anapinga agizo la mungu; nao wafanyao hivyo wanajiletea hukumu wenyewe,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
this, because they have resisted allah and his apostle; and whosoever resisteth allah and his apostle, then verily allah severe in retribution.
hayo ni kwa sababu wamemuasi mwenyezi mungu na mtume wake. na mwenye kumuasi mwenyezi mungu na mtume wake basi mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah said: "i will send it down unto you: but if any of you after that resisteth faith, i will punish him with a penalty such as i have not inflicted on any one among all the peoples."
mwenyezi mungu akasema: hakika mimi nitakuteremshieni hicho. lakini yeyote katika nyinyi atakaye kanya baadae, basi hakika mimi nitampa adhabu nisiyopata kumpa yeyote katika walimwengu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting