From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
yes tanzania is a very rich country in the mining sector there are many mines and large scale like if tanzanite is a mineral found only in tanzania there is no other country you can get more than tanzania very close to investing.
ndio tanzania ni nchi tajiri sana kwenye sekta ya madini kuna migodi mingi na kikubwa mfano kama tanzanite ni madini yanayopatikana tanzania tu hakuna nchi nyingine yoyote unaweza kupata zaidi ya tanzania karibu sana kuwekeza
Last Update: 2024-06-30
Usage Frequency: 2
Quality:
but in the weeks that followed, ibanga and others discovered that the extremist violence in dogo-nahawa was in fact a reprisal attack — in response to an earlier assault in the region by christian militants.
lakini katika majuma yaliyofuata, ibanga na wengine waligundua kwamba ghasia hizo za kigaidi katika eneo la dogo-nahawa zilikuwa kwa hakika mashambulio ya kulipiza kusasi -kujibu shambulio la awali lililofanywa na wanamgambo wa ki-kristo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
artist reahu posted a note on his site, recently becoming popular after gaining media attentions in the past few months, in response to his critics:
msanii reahu alituma ujumbe kwenye tovuti yake, ambayo imeongezeka umashuhuri hivi karibuni baada ya kuangaliwa na vyombo vya habari katika miezi michache iliyopita, ili kuwajibu wanaompinga:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
assuredly, that to which you invite me has no [response to a] supplication in this world or in the hereafter; and indeed, our return is to allah, and indeed, the transgressors will be companions of the fire.
bila ya shaka mnaye niitia kumuabudu hastahiki wito duniani wala akhera. na hakika marejeo yetu ni kwa mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
the production of maize — or corn as it is known in other parts of the world — is an even bigger issue in the mining region of the copperbelt and metropolitan areas like the capital, lusaka, where large working populations rely on the commercial supply of the product.
uzalishaji wa mahindi ni shughuli nyeti katika maeneo yanazalisha dhahabu kama copperbelt pamoja na maeneo mengine muhimu kama mji mkuu, lusaka, ambako idadi kubwa ya watu wanategemea sana mahindi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it was at 18:58 that a t959dhv registered car driven by joseph bahati an employee of the suma jkt security company working in the crdb area of the factory in the mining market area of the country with the aim of getting inside where before the trunk was closed he turned on the car and wanted to enter, causing the trunk to deteriorate where the trunk could not close and open again, then reported to the leader. geti alilitengeneza usku huku likaanza kufanya kufanya kazi lakini bado halijarudi halijarudi kama lilivyo kuwa mwanzo
ilikuwa majira ya saa18:58 gari yenye usjili wa t959dhv iliyokuwa ikiendeshwa na joseph bahati mwajiriwa wa kampuni ya ulinzi ya suma jkt anayefanya kazi katika lindo la crdb lililopo ndani ya kiwanda eneo la soko la madini mwanza kwa lengo la kuingia ndani ambapo kabla ya getini kufungiliwa lote yeye aliwasha gari na kutaka kuingia ndipo aipogonga getini na kusababisha geti kuharibika ambapo geti halikuweza kufunga na kufungua tena ndipo lipotoa taarifa kwa kiongozi wa zama ya usiku yusuph lule
Last Update: 2023-06-02
Usage Frequency: 1
Quality:
the shanxi province geological prospecting bureau of china expressed satisfaction with tanzania's existing partnership with tanzania in tanzania's water and mining sector and pledged to strengthen them. the statement was made by the company's director general prof. peng dongxiao as he met and held talks with tanzania's ambassador to china, mr. khamis omar, on 14 march 2024. the company is one of china's largest companies involved in the construction of m infrastructure
kampuni ya shanxi province geological prospecting bureau ya china imeeleza kuridhika kwake na mashirikiano yaliyopo na tanzania katika sekta ya maji na madini nchini tanzania na kuahidi kuyaimarisha. kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo prof. peng dongxiao wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na balozi wa tanzania nchini china mheshimiwa khamis omar jana tarehe 14 machi 2024. kampuni hiyo ni miongoni mwa kampuni kubwa za china zinayojihusisha na ujenzi wa miundombinu ya m
Last Update: 2024-05-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.