From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
meaning risen
maana ya risen
Last Update: 2020-04-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jesus is risen
yesu amefufuka
Last Update: 2022-03-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he is risen as he said
amefufuka kama alivyosema
Last Update: 2023-11-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
christ is risen! truly he is risen
christus resurrexit! vere surrexit
Last Update: 2022-05-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
divorce in general has risen in indonesia in the past decade.
kwa ujumla talaka zimeongezeka katika indonesia kwenye mwongo mmoja uliopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but after that i am risen, i will go before you into galilee.
lakini nikisha fufuka, nitawatangulieni kule galilaya."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
but if there be no resurrection of the dead, then is christ not risen:
kama hakuna ufufuo wa wafu, basi, kristo naye hakufufuka;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rivers in niamey and the extended regions have risen and destroyed thousands of houses.
mito katika niamey na maeneo ya karibu imefurika na kuharibu maelfu ya nyumba.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but now is christ risen from the dead, and become the firstfruits of them that slept.
lakini ukweli ni kwamba kristo amefufuliwa kutoka wafu, limbuko lao wale waliolala katika kifo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and if christ be not risen, then is our preaching vain, and your faith is also vain.
na kama kristo hakufufuka, basi mahubiri yetu hayana maana na imani yenu haina maana.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he is not here, but is risen: remember how he spake unto you when he was yet in galilee,
hayuko hapa; amefufuka. kumbukeni aliyowaambieni alipokuwa kule galilaya:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he is not here: for he is risen, as he said. come, see the place where the lord lay.
hayupo hapa maana amefufuka kama alivyosema. njoni mkaone mahali alipokuwa amelala.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
had this been so, each god would have taken away what he had created with him, and some would have risen over the others.
inge kuwa hivyo basi kila mungu angeli chukua alivyo umba, na baadhi yao wangeli washinda wengine.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
levels of xenophobia have also risen in east asia, with some restaurants and other businesses in japan and china refusing service to foreign customers.
viwango vya ubaguzi wa wageni vimeongezeka pia katika asia mashariki, na baadhi ya mikahawa na biashara nyingine nchini japani na uchina ikikataa kuwahudumia wateja wa kigeni.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
according to who director-general tedros adhanom, the demand for personal protection equipment has risen 100-fold.
kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa who, tedros adhanom, hitaji la vifaa vya kujilinda kibinafsi limeongezeka mara 100.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and as they came down from the mountain, he charged them that they should tell no man what things they had seen, till the son of man were risen from the dead.
walipokuwa wakishuka mlimani, yesu aliwakataza wasimwambie mtu yeyote mambo waliyoyaona, mpaka mwana wa mtu atakapokuwa amefufuka kutoka wafu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and said unto his servants, this is john the baptist; he is risen from the dead; and therefore mighty works do shew forth themselves in him.
basi, akawaambia watumishi wake, "mtu huyu ni yohane mbatizaji, amefufuka kutoka wafu; ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
according to the association of brazilian companies in angola (aebran), trade between the two countries has risen six-fold since 2002.
kwa mujibu wa chama cha makampuni ya kibrazili nchini angola (aebran), biashara kati ya mataifa mawili haya imekuwa kwa mara sita zaidi tangu mwaka 2002.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
who is he that condemneth? it is christ that died, yea rather, that is risen again, who is even at the right hand of god, who also maketh intercession for us.
ni nani atakayewahukumu? hakuna! maana kristo ndiye aliyekufa, tena alifufuka kutoka wafu na anakaa upande wa kulia wa mungu. yeye anatuombea!
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and there came a fear on all: and they glorified god, saying, that a great prophet is risen up among us; and, that god hath visited his people.
watu wote walishikwa na hofu, wakawa wanamtukuza mungu wakisema: "nabii mkuu ametokea kati yetu. mungu amekuja kuwakomboa watu wake."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting