Ask Google

Results for satire translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Satire is important. But they should adhere to same code of ethics as any other journalist.

Swahili

Sanaa ya michoro ya kuchekesha (vikatuni) yenye mandhari ya kusanifu ni sanaa muhimu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

On Twitter, Ugandan journalist Timothy Kalyegira scoffed at the decision with an accompanying dose of satire:

Swahili

Kwenye Twita, mwandishi wa habari wa Uganda Timothy Kalyegira aliukejeli uamuzi huu kwa maneno ya mzaha:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Would the ANC like to regulate satire? @ANC_debate: Cartoonists are supposed to be irreverent.

Swahili

Je chama cha ANC kingependa kudhibiti michoro hiyo? @ANC_debate: Wachoraji wa vikatuni wanapaswa kuwa si waoga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Blogging from Dakar, Naomed of Le Blog Politique du Senegal penned this short satire, a play on "melamine," the name of the chemical which was added to the fake milk.

Swahili

Kutoka Dakar, Bloga Naomed wa Le Blog Politique du Senegal ameandika mchezo huu mdogo wa kuigiza kuhusu dawa ijulikanayo kama "melamine," jina la hiyo dawa ambayo iliongezwa kwenye maziwa ili kudanganya ubora wa maziwa hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

In his blog post, titled “How to create your own religion? – An Ethiopian guide", he wrote a long satire on how state-run outlets broadcast programs in an effort to create a cult personality of the late former president Meles Zenawi.

Swahili

Katika malaka moja ya blogu, iliyokuwa na kichwa cha habari “Namna unavyoweza Kuvumbua Dini yako Mwenyewe – Mwangozo wa Kihabeshi", aliandika makala ndefu ya dhihaka ya namna ambavyo vipindi kwenye vyombo vya habari vinavyomilikiwa na serikali na harakati zao za kujaribu kupenyeza mfumo wa kidini wa aliyekuwa Rais wa Ethiopia hayati Meles Zenawi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK