From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
some medical procedures such as intubation and cardiopulmonary resuscitation (cpr) may cause respiratory secretions to be aerosolised and thus result in airborne spread.
baadhi ya taratibu za kimatibabu kama vile kuingiza tubu na kufufua moyo na mapafu (cpr) kunaweza kusababisha majimaji ya pumu kugeuzwa kuwa hewa na hivyo kusababisha maenezi kupitia hewa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
infection by the virus can be provisionally diagnosed on the basis of symptoms, though confirmation is ultimately by reverse transcription polymerase chain reaction (rrt-pcr) of infected secretions or ct imaging.
kuambukizwa kwa virusi hivi huweza kutambuliwa kwa muda kwa kuzingatia dalili, lakini uthibitisho ni kufuatia hatimaye mbinu ya kurejea chembe cha kemikali na mmenyuko mfulilizo (rrt-pcr) ya majimaji yaliyoambukizwa au upigaji picha za kimatibabu ya ct.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: