Results for seeth translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

how well he seeth and heareth.

Swahili

kuona kulioje na kusikia kwake!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

who seeth thee when thou standest up

Swahili

ambaye anakuona unapo simama,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah seeth well whatever ye do.

Swahili

na mwenyezi mungu anayaona mnayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

is he then unaware that allah seeth?

Swahili

hajui ya kwamba mwenyezi mungu anaona?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

who seeth thee when thou standest up (to pray)

Swahili

ambaye anakuona unapo simama,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and (remember) allah seeth all that ye do.

Swahili

na mwenyezi mungu anayaona mnayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

hath he knowledge of the unseen so that he seeth?

Swahili

je! anayo huyo ilimu ya ghaibu, basi ndio anaona?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and hell will stand forth visible to him who seeth,

Swahili

na jahannamu itadhihirishwa kwa mwenye kuona,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

is with him knowledge of the unseen so that he seeth?

Swahili

je! anayo huyo ilimu ya ghaibu, basi ndio anaona?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

when it seeth them from afar, they hear the crackling and the roar thereof.

Swahili

ule moto ukiwaona tangu mahali mbali wao watasikia hasira yake na mngurumo wake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do what ye will: verily he seeth (clearly) all that ye do.

Swahili

tendeni mpendavyo, kwa hakika yeye anayaona mnayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lo! he seeth you, he and his tribe, from whence ye see him not.

Swahili

hakika yeye na kabila yake wanakuoneni, na nyinyi hamuwaoni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

why worshippest thou that which heareth not nor seeth, nor can in aught avail thee?

Swahili

kwa nini unaabudu visivyo sikia, na visivyo ona, na visivyo kufaa chochote?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then cometh simon peter following him, and went into the sepulchre, and seeth the linen clothes lie,

Swahili

simoni petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and (seeth) thine abasement among those who fall prostrate (in worship).

Swahili

na mageuko yako kati ya wanao sujudu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and in hell he lift up his eyes, being in torments, and seeth abraham afar off, and lazarus in his bosom.

Swahili

huyo tajiri, alikuwa na mateso makali huko kuzimu, akainua macho yake, akamwona abrahamu kwa mbali na lazaro karibu naye.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he cometh to the house of the ruler of the synagogue, and seeth the tumult, and them that wept and wailed greatly.

Swahili

wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye yesu akasikia makelele, kilio na maombolezo mengi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and seeth two angels in white sitting, the one at the head, and the other at the feet, where the body of jesus had lain.

Swahili

akawaona malaika wawili waliovaa mavazi meupe, wameketi pale mwili wa yesu ulipokuwa umelazwa, mmoja kichwani na wa pili miguuni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

or should say, when it seeth the doom: oh, that i had but a second chance that i might be among the righteous!

Swahili

au ikasema inapo ona adhabu: lau kuwa ningeli pata fursa nyengine, ningeli kuwa miongoni mwa wafanya mema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

yet a little while, and the world seeth me no more; but ye see me: because i live, ye shall live also.

Swahili

bado kidogo nao ulimwengu hautaniona tena, lakini ninyi mtaniona; na kwa kuwa mimi ni hai, nanyi pia mtakuwa hai.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,891,402,037 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK