From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kabila is barred by the constitution from seeking a third term, however his term would be automatically prolonged until the census is completed.
kabila anazuiwa na katiba ya nchi hiyo kugombea kwa kipindi cha tatu, ingawa kwa kampeni ya sasa itabidi andelee kutawala mpaka sensa itakapokamilika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
malema is barred from involving himself in any activities of the ancyl and the anc for the duration of his suspension, which came into immediate effect today after derek hanekom,the anc’s national disciplinary committee (ndc) chairman, announced the findings of a disciplinary process against malema and the league’s top brass in joburg today.
malema anazuiwa kujihusisha na shughuli zozote za umoja wa vijana (ancyl) na chama cha anc katika kipindi alichosimamishwa, uamuzi ulioanza kutekelezwa mara moja leo baada ya derek hanekom, mwenyekiti wa kamati ya taifa ya nidhamu katika anc, kutangaza matokeo ya mchakato wa kinidhamu dhidi ya malema na kigogo wa juu kabisa wa umoja huo jijini johannesburg leo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.