Results for severity translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

four types of severity of viral pneumonia can be observed:

Swahili

aina nne za ukali wa nimonia ya virusi inaza kuchunguzwa:

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they only will look such because of the severity of god's torment.

Swahili

lakini adhabu ya mwenyezi mungu ni kali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the day whose severity shall cause the heaven to split asunder?

Swahili

hapo mbingu zitapasuka!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we save whomever we will, and our severity is not averted from the guilty people.

Swahili

na adhabu yetu haitowawacha kaumu ya wakosefu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

others before them had also spoken such lies until they experienced the severity of our wrath.

Swahili

vivi hivi walikanusha walio kuwa kabla yao mpaka walipo onja adhabu yetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the disease severity in the community where the business is located affects the responses taken.

Swahili

ukali wa ugonjwa katika jamii ambapo biashara iko huathiri mwitikio unaochukuliwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the correlation of crp level to the severity and prognosis of covid-19 has also been proposed.

Swahili

uhusiano kati ya viwango vya crp na uzito na uwezo wa kupona kutokana na covid-19 pia umependekezwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as the situation is rapidly evolving, the final scope and severity of the outbreak remain to be determined.

Swahili

kadri hali ikiendelea kua, upeo wa mwisho na hali ya athari ya mkurupuko huu bado haujabainiwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in addition, the requirements for successful host switches and the implications of virus evolution on disease severity are also highlighted.

Swahili

pia, mahitaji ya kufanikiwa kwa kubadilika kwa mbebaji na athari ya ukuaji wa virusi kwa uzito wa ugonjwa pia yameangaziwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

fight the faithless who are in your vicinity, and let them find severity in you, and know that allah is with the godwary.

Swahili

piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. na jueni ya kwamba mwenyezi mungu yu pamoja na wacha- mngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they disobeyed the messenger of their lord, so he seized them with a seizure exceeding [in severity].

Swahili

wakamuasi mtume wa mola wao mlezi, ndipo yeye mola akawakamata kwa mkamato ulio zidi nguvu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

however, this is quite a rough comparison as many other impact factors such as the number and severity of the patients should be included in the evaluation.

Swahili

hata hivyo, huu ni ulinganisho wa juujuu kwa sababu vigezo vingine vya athari kama vile idadi na hali ya wagonjwa vinapaswa kujumuishwa kwenye tathmini.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is not yet known whether the severity or level of control of underlying health conditions affects the risk for severe disease associated with covid-19.

Swahili

bado haijulikani iwapo uzito au kiwango cha udhibiti wa hali sugu za afya huathiri hatari ya ugonjwa mbaya unaohusiana na covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

covid-19 affects more elderly individuals than youth and more men than women, and the severity and death rate are also higher in elderly individual than in youth.

Swahili

covid-19 inaathiri zaidi watu wazee kuliko vijana na wanaume zaidi kuliko wanawake na uzito wake na viwango vya vifo viko juu miongoni mwa watu wazee kuliko vijana.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

even after the tensions had become commonplace, the severity of a 2010 massacre in the town of dogo-nahawa turned ibanga and other local women into vocal activists.

Swahili

hata baada ya misuguano hiyo kuzoeleka, kiwango cha mauaji ya mwaka 2010 kwenye mji wa dogo-nahawa kulimfanya ibanga na wanawake wengine wa sehemu hiyo kuwa wanaharakati wanaopaza sauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

abnormal laboratory findings: the c-reactive protein (crp) level in blood reflects the severity of inflammation or tissue injury and has been proposed to be a potential prognostic factor for disease, response to therapy, and ultimate recovery.

Swahili

matokeo yasiyo ya kawaida ya mahabara. kiwango cha protini ya c-reactive (crp) ndani ya damu inaakisi hali ya kuchomeka au majeraha ya tishu na zimependekezwa kuwa kigezo cha uwezo wa kupona, hali ya kupokea tiba na uponyaji hatimaye.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,154,796,234 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK