Results for shopping translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

shopping

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

yesterday, i went shopping.

Swahili

Last Update: 2020-10-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this photograph shared by the palestinian information center shows children in a busy shopping street marketing the hashtag yesterday

Swahili

picha hii iliyowekwa na kituo cha mawasiliano cha palestina ikiwaonesha watoto wakiwa katika mtaa ulio na pilika pilika nyingi za watu wakifanya manunuzi

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

there were no metal detectors or special machines that we had to pass through at the entrance of shopping centers or museums or anywhere for that matter.

Swahili

hakukuwa na vifaa vya kutafuatia vitu vya chuma alivyobeba mtu wala uwepo wa mashine maalum ambazo tulipaswa kupita kwanza katika milango ya maduka, katika majumba ya maonesho na mambo mengine yanayohusiana na hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i almost finished buying the items on my list when i decided to go into a lingerie shop to look for an item that has been on my shopping list forever: a seamless wireless bra.

Swahili

nilikuwa karibu ya kumaliza kununua bidhaa kwenye orodha yangu nilipoamua kwenda kwenye duka la nguo za ndani kutafuta bidhaa iliyokuwa kwenye orodha yangu ya manunuzi kwa muda mrefu: sidiria isiyokiwa na pindo wala waya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

yes, you might be thinking i was careless leaving the bag there, fyi, it was hidden beneath that same seat until when i thought i had finished shopping!"

Swahili

ndio, unaweza kudhani sikuwa makini kwa kuacha mkoba wangu pale, kwa taarifa yako, ulikuwa umefichwa chini ya kiti kile kile mpaka nilipofikiri kuwa nimemaliza manunuzi!’

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

methods include quarantines; travel restrictions; and the closing of schools, workplaces, stadiums, theatres, or shopping centres.

Swahili

mbinu ni pamoja na; vizuizi ya safari; kufungwa kwa shule, sehemu za kazi, viwanja, sinema, au maduka.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

avoid crowded areas, especially enclosed areas without much air circulation, such as conferences, performances, shopping malls, public transportation, and religious services.

Swahili

epuka maeneo yenye watu wengi, hasa maeneo yaliyofungwa bila hewa ya kutosha, kama vile mikutano, maonyesho, duka kuu za ununuzi, usafiri wa umma, na ibada za kidini.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

here are the top searches this year: weather taobao (china's online shopping website) wu dong qian kun (an online novel from li hu) the tang door (online novel) mang huang ji (online novel) zhe tian (online novel) double chromosphere (a chinese lottery game) baidu (!)

Swahili

orodha ya maneno kumi yaliyotumika zaidi ni kama ifuatavyo: hali ya hewa taobao (tovuti ya kufanyia manunuzi ya mtandaoni nchini china) wu dong qian kun (kitabu cha mtandaoni cha li hu) the tang door (kitabu cha mtandaoni) mang huang ji (kitabu cha mtandaoni) zhe tian (kitabu cha mtandaoni) double chromosphere (mchezo wa kamari wa kichina) baidu (!)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,772,736,107 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK