Results for siege translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the meaning of siege

Swahili

maana ya kuzinguwa

Last Update: 2022-06-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

president mills is under siege.

Swahili

rais mills amezingirwa (kana kwamba na nguvu pinzani).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

homs: 139-days siege of 14 block in the city.

Swahili

homs: siku 139 za kuzingirwa kwa majengo 14 jijini homs.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

karachi airport under siege as number of attacker are between 15-20.

Swahili

magaidi watatu wako ndani ya uwanja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ato kwamena dadzie recently wrote in his post, "a president under siege":

Swahili

ato kwamena dadzie hivi karibuni aliandika kwenye makala yake, “rais aliyezingirwa?”:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

ato kwamena dadzie has received over 70 responses to his post, “a president under siege?”

Swahili

ato kwamena dadzie amepokea zaidi ya maoni 70 kwenye makala yake, “rais amezingirwa?”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

all passengers who were stranded in aircrafts during the siege were safely moved into the main terminal building after the initial siege ended.

Swahili

bado niko kwenye ndege -mfanyakazi wa emirates aliamuru mapema kwamba abiria washuke lakini kwa sasa imebidi tubaki kwenye ndege.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in recent months, people in gaza believe the international community began to direct its attention elsewhere, neglecting the siege of gaza.

Swahili

katika miezi ya karibuni, watu wa gaza wanaamini kuwa jumuiya ya kimataifa imeanza kuelekeza macho yake sehemu nyingine, na kutotilia maanani vikwazo vinavyoizingira gaza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the original statement of the coalition was to march to break the siege in accordance with the principle of non-violence and anchored in international law.

Swahili

tamko la asili lilikuwa kuandamana ili kuvunja vikwazo vinavyoizingira gaza kwa mujibu wa kanuni za amani zilizojikita katika sheria za kimataifa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it was whether inclusion in the coalition’s statement of a particular right or strategy was necessary if it was both unrelated to the immediate objective of breaking the siege and dimmed the prospect of a truly mass demonstration.

Swahili

sehemu hiyo ilikuwa iwapo kulikuwa na ulazima wa kujumuishwa kwa haki fulani au mkakati hata kama havihusiani na lengo lililopo la kuvunja vikwazo na kupunguza matarajio ya maandamano ya kweli ya umma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the 6-hour siege which started in the late hours of sunday june 8, left 28 people dead, 10 of whom were militants. no passengers was killed in the brazen attack.

Swahili

sehemu ya zamani ya kupumzikia abiria katika uwanja wa ndege mkubwa zaidi nchini pakistani - uwnaja wa ndege wa kimataifa wa jinnah ilikumbwa na shambulizi zito lililofanywa na wanamgambo wenye silaha usiku wa kuamkia jumatatu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i mean, how have the media succeeded in presenting the case of gaza as one of a hungry person under siege, searching for food and "humanitarian" aid not worthy of dogs?!

Swahili

yaani, ni vipi vyombo vya habari vimefanikiwa kuwasilisha shauri hili kama shauri moja la mtu mwenye njaa aliyezingirwa, anayetafuta misaada ya kibinaadamu na chakula kisichomfaa hata mbwa?!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

current fifa president sepp blatter, who headed the organisation while the two-decade siege of corruption, bribery and money laundering was allegedly taking place, is seeking a fifth term at today's congress.

Swahili

rais wa fifa aliye madarakani sepp blatter, ambaye ameongoza chombo hicho katika kipindi cha miongo miwili inayodaiwa kugubikwa na ufisadi, rushwa na fedha haramu, anatafuta kuchaguliwa kwa muhula wa tano kwenye baraza la leo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,876,321,014 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK