From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
also on wednesday, eight soldiers were killed in a roadside bombing in siirt, a southeastern turkish region bordering syria and iraq.
pia, siku ya jumatano, wanajeshi watano waliuawa kufuatia mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa pembezoni mwa barabara huko siirt, eneo la kusini mwa uturuki linalopakana na nchi za siria na iraki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the middle of intense vegetation in southeastern veracruz, a state along the mexican gulf, the town of yanga is evidence to the presence and settlement of africans in mexico.
katikati ya uoto uliofungamana huko kaskazini mwa veracruz, jimbo linalopakana na ghuba ya mexico, mji wa yanga ni kiashiria cha uwepo wa makazi ya waafrika huko mexico.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
former nato assistant secretary general for public diplomacy kolinda grabar kitarović has been elected croatia's first woman president, defeating the incumbent president in the first presidential elections since the small southeastern european country joined the european union last year.
aliyekuwa katibu mkuu wa nato wa masuala ya uhusiano wa kimataifa kolinda grabar kitarović amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi ya croatia, kwa kumshinda rais aliyemaliza muda wake katika uchaguzi wa kwanza kabisa mara baada ya nchi hii ndogo ya ulaya ya kusini kujiunga na jumuia ya umoja wa ulaya mapema mwaka jana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
map of all the major and minor tectonic plates of the world if you can locate bangladesh in the world map, you will see two plate boundaries, i.e. two fault lines cross bangladesh....many scientists have been warning about the probability of a devastating 8-9 richter scale catastrophic earthquake in the northeastern and southeastern parts of bangladesh.
kama naweza kuiona bangladeshi kwenye ramani ya dunia, utaona mipaka ya sahani mbili, yaani, mistari ya inayokutanisha (au kutenganisha) magamba ya miamba-nchi inapita katikati ya bangladeshi… wanasayansi wengi wamekuwa wakionya kuhusu uwezekano wa kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye athari kubwa, 8-9 kwa vipimo vya skeli ya rikta huko kaskazini-mashariki na kusini-mashariki mwa bangladeshi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: