From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the allegations and the judicial case on him in india have now been taken back by the siddiqui family for an alleged rs. 150 million in alimony.
madai na kesi inayomkabili nchini india hivi sasa vimeondolewa na familia ya siddiqui baada ya malipo ya kiasi cha rupia milioni 150 kama fedha za kumkimu aliyetalikiwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
unfortunately, today, popular dominican blogger guillermo peña confirmed he lost his father, guillermo peña sr., in the disaster.
kwa bahati mbaya, leo hii (14.01.10), mwanablogu maarufu wa kutoka dominika, guillermo peña, alithibitisha kwamba amefiwa na baba yake aliyeitwa guillermo peña sr. kutokana na janga hilo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
after an episode on malpractices by doctors the indian medial association claimed that he defamed the doctors and demanded apology but aamir defended his actions saying he won't apologize. it has also been alleged that aamir khan receives a high remuneration of rs.
baada ya onyesho kuhusu vitendo potofu vya madaktari, jumuiya ya madaktari wa india walilalamika kwamba walichafuliwa jina na kutaka waombwe msamaha lakini aamir alitetea hatua yakeakisisitixa kuwa hataomba msamaha.ilidaiwa kuwa aamir khan upokea malipo ya juu ya rs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.