Results for stereotypes translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

stereotypes

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

fatima says the south asian stereotypes will be shattered in coming decades.

Swahili

fatima anasema mtazamo hasi na wa jumla kwa waasia wa kusini utakoma katika miongo ijayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it helps to overcome prejudices and stereotypes and improve people's knowledge about them.

Swahili

unasaidia kukabiliana na na unyanyasaji na udhalilishaji ikiwa ni pamoja na kuwaongezea watu ufahamu zaidi kuhusiana na watu hao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is no simple task for israeli and palestinian youth to overcome the vast amount of misinformation and stereotypes they are taught about one another.

Swahili

"si kazi rahisi kwa vijana wa kipalestina na kiyahudi kushinda idadi kubwa ya taarifa zisizo sahihi na imani potofu ambazo zinafundishwa mmoja kuhusu mwingine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

stubborn stereotypes about south koreans prevail in much of the reporting on a capsized ferry that led to the deaths of more than 200 people, most of them teenagers on a school trip.

Swahili

mitazamo potofu kuhusu wakorea kusini inaendelea kusambaa kwenye habari zinazotangazwa kuhusu kivuko kilichozama na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 200, wengi wao wakiwa ni vijana wa shule waliokuwa kwenye safari ya kimasomo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

queen rania of jordan has been named the most famous arab video blogger on youtube by blogger times, a blogging magazine run by arab bloggers, following the success of a series of youtube videos she launched to shake off stereotypes against arabs.

Swahili

chombo cha habari cha blogger times kinachoendeshwa na mabloga wa kiarabu, kimemtaja malkia rania wa jordan kuwa bloga maarufu zaidi wa video za kutoka uarabuni katika chombo cha video mtandaoni, youtube, kufuatia mafanikio ya mlolongo wa video za youtube aliouanzisha kuondoa dhana potofu dhidi ya waarabu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the media in every country is almost guilty of similar things; they don’t cover our issues, they entrench prejudice and stereotypes in most cases never have time to write and air positive stories.

Swahili

vyombo vya habari katika kila nchi kwa kawaida vina hatia ya mambo yanayofanana; havitangazi masuala yetu, vinaongeza chuki na ubaguzi na mara nyingi havina muda wa kuandika na kutangaza habari chanya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

adichie comments on the pitfalls of a monolithic image of africa as a site of catastrophe; she cautions that limiting ourselves to a “single story” flattens experience and creates stereotypes.

Swahili

adichie anatoa maoni juu ya mitegoya taswira kubwa ya afrika kama sehemu ya majanga; anatahadharisha kuwa kujekea upeo wa “simuli moja” kunasiliba uzoefu na kutengeneza imani potofu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

gender stereotype

Swahili

ubaguzi wa kijinsia

Last Update: 2022-02-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,729,161,560 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK