Results for structured networking translation from English to Swahili

English

Translate

structured networking

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

social networking

Swahili

mitandao ya kijamii

Last Update: 2019-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

facebook - social networking

Swahili

facebook – ni mtandao wa wanajamii

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the negligence on the part of the government angered many on social networking sites.

Swahili

serikali kushindwa kutilia mkazo tukio hili, umewaghadhabisha watu wengi katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

cpy - socialist networking if you are not a facebook member - you are a nobody

Swahili

cpy – ni mtandao wa wajamaa kama sio mwanachama wa facebook – huna maana kwao

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

nigerians on social networking sites can take a public stand using take a stand website:

Swahili

wanaijeria katika mitandao ya kijamii wanaweza kuchukua msimamo wa wazi kwa kutumia tovuti ya take a stand:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

meanwhile, political parties are also maximizing the popular social networking site to reach out to younger voters.

Swahili

wakati huohuo, vyama vya siasa pia vinatumia mtandao huu ulio maarufu zaidi katika kuwashawishi vijana wadogo wanaotarajiwa kupiga kura.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

da zhu zai (online novel) qzone (a new social networking site from tencent)

Swahili

da zhu zai (kitabu cha mtandaoni) qzone (a new mtandao wa kijamii from tencent)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

arguments about the dangers of being too public with one's affiliations on public social networking sites remain in force.

Swahili

hoja zinazohusu hatari za kujiweka hadharani sana na kuwa wazi juu ya mahusiano yako kwenye mitandao yakijamii bado ina nguvu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

despite this, the communications team at eleitor 2010 has generated some media attention, and networking with other online transparency initiatives has been crucial.

Swahili

pamoja na hayo, timu ya mawasiliano ya eleitor 2010 imeweza kuvivutia vyombo vya habari, na ushirikiano na miradi mingine ya uwazi kwenye mtandao umekuwa ni wa muhimu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a series of memes ridiculing president aquino’s absence from the arrival ceremony were widely circulated on social networking sites like facebook and twitter.

Swahili

mfululizo wa ujumbe uliokuwa ukienea kwa kasi kudhihaki kukosekana kwa rais aquino kwenye mapokezi hayo ulizunguka kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na twita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

have they not looked at the heaven above them - how we structured it and adorned it and [how] it has no rifts?

Swahili

hawaangalii mbingu zilizo juu yao! vipi tulivyo zijenga, na tukazipamba.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a legal practitioner has suggested that the review of the constitution should ensure that power resides in the hands of the people through well-structured local institutions and organs and a perfected district assembly system.

Swahili

kuna mwanasheria aliyependekeza kwamba maopitio ya katiba ni lazima yahakikishe kwamba madaraka yanabaki katika mikono ya wananchi kwa kupitia taasisi na vyombo vyenye miundo mizuri na mfumo mzuri kabisa wa mabunge ya majimbo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

women's participation is being documented through social networking sites, such as the women of egypt facebook page created by barcelona-based leil-zahra mortada.

Swahili

ushiriki wa wanawake unaorodheshwa kupitia tovuti za kijamii, kama vile ukurasa wa facebook wa wanawake wa misri uliotengenezwa na leil-zahra mortada anayeishi mjini barcelona.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a 1974 report by the world bank defined formal education as the following:formal education: the hierarchically structured, chronologically graded ‘education system’, running from primary school through the university and including, in addition to general academic studies, a variety of specialised programmes and institutions for full-time technical and professional training.the majority of data collected on the number of students and learners impacted by covid-19 has been calculated based on the closure of formal education systems.

Swahili

ripoti ya mwaka 1974 ya world bank ilifafanua elimu rasmi kuwa yafuatayo:elimu rasmi: mfumo wa elimu weny utaratibu uliopangwa, kimuda na ulio na viwango, unaoanza katika ngazi ya shule ya msingi hadi katika chuo kikuu, pamoja na masomo ya kawaida ya kiakademia, mipango anuwai maalum na taasisi kwa ajili ya mafunzo ya muda mzima ya kiufundi na kitaaluma.idadi kubwa ya data iliyokusanywa ya idadi ya wanafunzi na wasomaji walioathirika na covid-19 imehesabiwa kulingana na kufungwa kwa mifumo rasmi ya shule.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,751,827,650 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK