From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
she struggles not to shed a tear.
anahangaika afanyeje machozi yasitiririke.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they also included discussions about the struggles, difficulties, and bitterness that chinese youth face today.
pia walihusisha mijadala kuhusiana na juhudi, changamoto na magumu ambayo vijana wa kileo wa china wanayokabiliana nayo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
assane fall-diop summarizes the struggles that are still needed to achieve a real social welfare system in africa :
assane fall-diop anaweka muhtasari wa jitihada ambazo bado zinahitajika kufikia mfumo wa kweli wa ustawi wa jamii barani afrika: :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
rather, they are the stories behind the conflict: the struggles for education, the environment, equality and dignity.
hizi ni habari tofauti na mgogoro wa kisiasa unaoendelea: ni kuhusu juhudi katika elimu, mazingira, usawa na utu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the ethno part is a nod to her classical indian musical roots and the punk, she says, helps her express the struggles of being an independent woman in india today.
sehemu ya ethno ni kuendeleza asili yake ya muziki wa ki-hindi na punk, anasema, inamsaidia kuelezea mapambano ya kuwa mwanamke anayejitegemea nchini india leo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
papuan voices is a video-production advocacy initiative that allows west papua activists to make their own short films that tell their stories and describe their everyday struggles.
sauti za wa-papua ni mkakati wa utetezi kupitia uandaaji wa video unaowawezesha wanaharakati wa papua ya magharibi kutengeneza filamu fupi zinazosimulia habari zao pamoja na kuelezea harakati za maisha yao ya kila siku.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in this episode we talk to alaa and maryam about their activism, the struggles they face in bahrain and egypt and the hopes that keeps them resilient about their country's future.
katika toleo la wiki hii tunazungumza na allan a maryam kuhusiana na harakati zao, mapambano wanayokabiliana nchini bahrain na misri pamoja na matumaini yao yanayowafanya wawe na moyo imara kuhusiana na mustakabali wa nchi yao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
with the huge country split into myriad, inaccessible local enclaves, it was never going to be easy to resolve all the problems of corruption, mismanagement, inter-ethnic rivalries and power struggles.
ndani ya nchi hii kubwa iliyogawanyika katika vitongoji visivyo rahisi kuvifikia, haingekuwa jambo rahisi kutatua matatizo yote ya rushwa, uzembe, ushindani wa kikabila pamoja na ushindani wa kutaka ukubwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
struggle deo
mapambano deo
Last Update: 2022-01-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: