Ask Google

Results for subjective norm translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Because Kazakhstan does not have a clear religious policy, it has become the norm that everyone is entitled to his or her own perspective on faith.

Swahili

Kwa kuwa Kazakhstan haina sera bayana ya dini, imekuwa ada kwamba kila mtu ana uhuru wa kuwa na mtazamo wake katika masuala ya kiimani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@Thato_wally: Its nt a happy africa day if our ppl r stil in the illusion of freedom,if corruption is seen as a norm nd a common practise...

Swahili

@Thato_wally: Haiwezi kuwa furaha ya Afrika kama watu wetu bado wanaishi katika njozi za uhuru, kama ufisadi unaonekana kama desturi na jambo la kawaida…

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And if you factor in the countries that have had more than one episode of term-limited presidents stepping down, suddenly the odds look pretty good for the consolidation of the norm of term limits in Sub Saharan Africa.

Swahili

Na kama ukiingiza na nchi ambazo zimewahi kuwa na zaidi ya tukio moja la marais waliolazimishwa na katiba kuachia madaraka na wakafanya hivyo, hali inaonekana kuwa nzuri kwa kuwa na ukomo wa madaraka katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Child abuse doesn’t occur only in houses which are chained by so called social “norms, values” etc it happens wherever there is a child who is vulnerable.

Swahili

Mateso kwa mtoto si ati kunatokea tu kwenye nyumba ambazo zimefungwa na hisia za kijamii na kadhalika, mateso hayo hufanywa mahala ambapo mtoto yupo kwenye mazingara mabayo hawezi kujitetea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

I hope that when President Obama evaluates the impact of Keystone on the environment, he does so in broad strokes, not in a narrowly defined minimum norms and standards type of way.

Swahili

Ninatarajia kwamba Rais Obama anapotathimini madhara ya Keystone kwa mazingira, anafanya hivyo kwa mtazamo mpana, na sio kwa mtazamo mwembamba wa viwango na mazoea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Most of the marriage out of caste is out of love and defying the socio-cultural norms.

Swahili

Ndoa nje ya asili hiyo huchukuliwa kuwa kuvunja mila na desturi za ki-Hindi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Or is what appears to be a gradual decline in blogging simply because of social media and changing norms?

Swahili

Au hiki kinachoonekana kuwa kushuka kwa kublogu ni kwa sababu ya kubadilika kwa utamaduni na uandishi wa kiraia?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

South Sudanese politics is interwoven with low intensity warfare, inter-ethnic violence and norms of authority grounded in violence.

Swahili

Siasa za Kisudan Kusini zimehusishwa na vita vya ukali wa kiwango cha chini, vurugu baina ya makabila na desturi za mamlaka zilizojengwa juu ya msingi wa vurugu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

This happiness index (pdf) is based not on subjective questions, but on "revealed preferences," using migration as a standard; that is, what people do, not what they say.

Swahili

Hiki Kielelezo cha Furaha (pdf) hakitokani na maswali huru yaliyoulizwa, bali kimetokana na "utashi uliogunduliwa," kwa kutumia uhamaji kama kigezo; yaani, kile watu wanachokifanya, na sicho kile wanachokisema.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

Umlilo (previously profiled on Africa is a Country here) continues to push societal boundaries, crushing the norms of sexuality and gender roles with ‘Magic Man’, a track from his latest album, which will be released in July 2014.

Swahili

Umlilo (ambaye hapo awali aliandikwa kwenye tovuti ya Africa is a Country) anaendelea kupunguza mipaka ya kijamii, akivunja vunja mila zinazohusu masuala ya jinsia na mapenzi kwa kutumia albamu yake ya hivi karibuni iliyotoka mwezi Julai 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

What happened in 2005 was that a military-personal-tribal dictatorship was overthrown and the chance arrived to replace it with a civilian semi-authoritarian structure that respected most democratic norms most of the time, and which made sensible moves towards national reconciliation, refugee return and economic development; not heaven, but infinitely better.

Swahili

Kilichotokea mwaka 2005 ilikuwa kwamba madikteta wa kijeshi walioegemea katika ukabila waling'atuliwa na nafasi ilijitokeza ikasimika badala yake utawala wa kiraia uliokuwa na muundo wa nusu-mabavu ambao uliruhusu desturi nyingi za kidemokrasia kwa muda mwingi zaidi, (utawala huo) ulishughulikia zaidi muwafaka wa kitaifa, urejeshwaji wa wakimbizi na maendeleo ya kiuchumi; ingawa siyo hema, lakini ilikuwa bora.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And if you want to have your children wet-nursed, there will be no sin upon you so long as you pay what you give in accordance with honourable norms, and be wary of Allah and know that Allah watches what you do.

Swahili

Na mkitaka kuwapatia watoto wenu mama wa kuwanyonyesha basi hapana ubaya kwenu mkitoa mlicho ahidi kwa mujibu wa ada. Na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba Mwenyezi Mungu anayaona yote mnayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

As for those of you who die leaving wives, they shall wait by themselves four months and ten days, and when they complete their term, there will be no sin upon you in respect of what they may do with themselves in accordance with honourable norms.

Swahili

Na wale miongoni mwenu wanao kufa na wakaacha wake, hawa wake wangoje peke yao miezi mine na siku kumi. Na wanapo timiza eda yao basi hapana ubaya kwao kwa wanao jifanyia kwa mujibu wa ada.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

For the divorced women there shall be a provision, in accordance with honourable norms—an obligation on the Godwary.

Swahili

Na wanawake walio achwa wapewe cha kuwaliwaza kwa mujibu wa Sharia. Haya ni waajibu kwa wachamngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Mothers shall suckle their children for two full years—that for such as desire to complete the suckling—and on the father shall be their maintenance and clothing, in accordance with honourable norms.

Swahili

Na wazazi wanawake wawanyonyeshe watoto wao miaka miwili kaamili kwa anaye taka kutimiza kunyonyesha. Na juu ya baba yake chakula cha kina mama, na nguo zao kwa mujibu wa ada.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The wives have rights similar to the obligations upon them, in accordance with honourable norms; and men have a degree above them, and Allah is all-mighty and all-wise.

Swahili

Na waume wao wana haki ya kuwarejesha katika muda huo, kama wakitaka kufanya sulhu. Nao wanawake wanayo haki kwa Sharia kama ile haki iliyo juu yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Those of you who die leaving wives shall bequeath for their wives providing for a year, without turning them out; but if they leave, there is no sin upon you in respect of what they may do with themselves in accordance with honourable norms.

Swahili

Na wale miongoni mwenu wanao kufa na wakawacha wake, na wausie kwa ajili ya wake zao kupata matumizi kwa mwaka mmoja bila ya kuwatoa nyumba. Na wanawake wenyewe wakiondoka, basi hapana ubaya kwenu kwa waliyo jifanyia wenyewe kwa mujibu wa Sharia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK