Results for subsidized translation from English to Swahili

English

Translate

subsidized

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

currently the subsidized petrol known locally as premium is sold at idr 4,500 (usd 0.50) per liter.

Swahili

kwa sasa, mafuta yanayopatiwa ruzuku ambayo katika nchi hiyo hujulikana kama premium huuzwa kwa kiasi cha idr 4,500 (sawa na dola 0.50 au shilingi 800) kwa lita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

some of the fertilizer delivered contained more sand than fertilizer while a large portion of the fertilizer subsidized by government found its way across our borders to neighbouring countries where it was sold at prevailing market prices.

Swahili

kiasi fulani cha mbolea hiyo kilikuwa na mchanga mwingi kuliko mbolea wakati sehemu kubwa ya mbolea hiyo ya ruzuku ya serikali ilivushwa nje ya mipaka yetu na kupelekwa katika nchi jirani ambapo iliuuzwa kwa bei halisi ya soko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we were able get subsidized high quality fertilizer and seeds to our rural farmers by introducing the ges (growth enhancement support) scheme in april of 2012.

Swahili

tuliweza kufanya mbolea na mbegu za ruzuku zenye viwango vya juu zipatikane kwa wakulima wetu wa vijijini na kuanzisha ges (msaada wa uwezeshaji wa kuimarisha) mwezi aprili ya 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

during the second half of march, 4 million french workers applied for temporary unemployment benefits and 1 million british workers applied for a universal credit scheme.almost half a million companies in germany have sent their workers on a government-subsidized short-time working schemes known as kurzarbeit.

Swahili

katika awamu ya pili ya mwezi machi, wafanyakazi milioni 4 wafaransa walituma maombi ya manufaa ya kutoajiriwa na wafanyakazi milioni 1 waingereza walituma maombi ya mpango wa mkopo wa kwa wote.takriban kampuni nusu milioni nchini ujerumani zimewatuma wafanyakazi wao katika mpango unaofadhiliwa na serikali wa kazi ya muda mfupi unaofahamika kuwa kurzarbeit.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,772,977,924 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK