From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the pap manifesto is ultimately about maintaining the status quo, making it cosmetically and statistically better but substantially worse.
lengo kuu la ilani ya pap ni kuendeleza hali kama ilivyo, na kuifanya kuwa bora kwa urembo na kwa takwimu lakini kubaki mbaya katika ukweli halisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in clinical trials, alcohol-based hand sanitizers containing emollients caused substantially less skin irritation and dryness than soaps or antimicrobial detergents.
katika majaribio ya kikliniki, vieuzi vilivyo na alkoholi vilivyo na viungo vya emolienti vilisababisha kiwango cha chini cha mwasho na kukauka kwa ngozi ikilinganishwa na sabuni nyingine za kuuwa viini.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
so malaysia is economically more prosperous in south east asia region, has better developed infrastructure, with substantially lower poverty rate, hmm... you may even say more democratic.
kwa hiyo, malaysia ni moja ya nchi zenye uchumi mzuri katika eneo la kusini mashariki ya bara asia, ina miundo mbinu iliyojengeka zaidi, ina kiwango cha chini cha umaskini, aaaah... unaweza kusema kwamba ina demokrasia zaidi pia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i was impressed by these journals’ integration of media into their offerings, which made them a substantially different, more alive, animal from the printed page.
nilivutiwa na mfungamano wa vyombo vya habari na majarida haya katika kile yalichotoa, jambo ambalo liliyafanya yawe tofauti sana, yawe na mshawasha zaidi, yaani tofauti na yale yaliyopigwa chapa kwenye karatasi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: