From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
that’s it; the real deal.
ndiyo hivyo; mpango halisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they think that it (the day of judgment) is far away.
hakika wao wanaiona iko mbali,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
we will show our signs to them in the horizons of the external world and within themselves, until it becomes clear to them that it's the truth.
tutawaonyesha ishara zetu katika upeo wa mbali na katika nafsi zao wenyewe mpaka iwabainikie kwamba haya ni kweli.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they said: "we should like to eat of it to reassure our hearts and to know that it's the truth you have told us, and that we should be witness to it."
wakasema: tunataka kukila chakula hicho, na nyoyo zetu zitue, na tujue kwamba umetuambia kweli, na tuwe miongoni mwa wanao shuhudia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and before it the book of musa was a guide and a mercy: and this is a book verifying (it) in the arabic language that it may warn those who are unjust and as good news for the doers of good.
na kabla yake kilikuwapo kitabu cha musa, kuwa chenye uwongozi na rehema. na hichi ni kitabu cha kusadikisha na kilicho kuja kwa lugha ya kiarabu, ili kiwaonye walio dhulumu, na kiwe ni bishara kwa watendao mema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
say (o muhammad saw) ruh-ul-qudus [jibrael (gabriel)] has brought it (the quran) down from your lord with truth, that it may make firm and strengthen (the faith of) those who believe and as a guidance and glad tidings to those who have submitted (to allah as muslims).
sema: ameiteremsha hii roho takatifu kutokana na mola wako mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa waislamu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: