From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
technical skills
ujuzi wa kiufundi
Last Update: 2024-06-18
Usage Frequency: 1
Quality:
technical education in mechanical engineering
mhandisi wa mitambo
Last Update: 2024-10-06
Usage Frequency: 1
Quality:
btw, i'm just being technical.
kiukweli, ni kwamba ninajaribu kufanya ujanja.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
members of the technical revision committee in nairobi.
washiriki wa kamati ya ufundi ya mapitio wakiwa mjini nairobi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
please list your primary and secondary technical domain skills:
ujuzi wa kiufundi
Last Update: 2023-08-12
Usage Frequency: 1
Quality:
many apologies for some of the technical and audio trouble we had in this hangout.
tunasikitika kwa matatizo kadhaa ya kiteknolojia na usikivu usioridhisha wa sauti kwenye mazungumzo haya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
to be a nationally competitive training centre for imparting technical knowledge and skills for sustainable development
kuwa kituo cha mafunzo chenye ushindani wa kitaifa kwa ajili ya kutoa maarifa ya kiufundi na ujuzi kwa maendeleo endelevu
Last Update: 2021-11-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
during these times, given the technical limitations, the immediate mainstream access to the internet is not possible.
katika kipindi hiki, na kwa kuzingatia vikwazo vya kiufundi, haiwezekani kwa haraka kuwezesha watu kupata huduma ya intaneti wakiwa majumbani mwao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a four-day working session with the signatories’ technical revision committee has been concluded in nairobi.
kikao cha siku 4 mfululizo kilichojumuisha waweka saini wa makubaliano, kimekwishahitimishwa mjini nairobi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a few weeks into office, president sata appointed a technical committee to look into the previous constitutional making processes to come up with a new document.
wiki kadhaa baada ya kushika madaraka, rais sata aliteua kamati ya ufundi ili kutazama michakato iliyotumika kutengeneza katiba zilizopita ili kuja na rasimu ya katiba mpya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nonetheless, etecsa is working on investments that will facilitate the implementation of these services with the required technical conditions and at lower cost than the current ones.
hata hivyo, , etecsa inaangalia namna ya utoaji wa huduma utakaochochea utoaji wa huduma kwa kuzingatia uwezo wa kiufundi na kwa gharama za chini zaidi ikilinganishwa na hali ilivyo sasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
michel, who was in the country last month for negotiations, beat more than 60 foreign coaches who had applied for the position which became vacant after francis kimanzi was redeployed to become the technical director at fkf.
michel ambaye alikuwa nchini mwezi uliopita kwa mazugumzo, aliwashinda zaidi ya makocha 60 wa kigeni waliokuwa wameomba nafasi hiyo iliyoachwa wazi baada ya francis kimanzi kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa ufundi kwenye shirikisho la kandanda nchini kenye, fkf.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
with shifting deadlines and the constitution making process running into two years, the government changed its approach and asked the technical committee to only print ten copies of the draft constitution, which the cabinet was to study first.
huku kukiwa na tarehe za mwisho zinazobadilika badilika na hatimaye mchakato wa kutengeneza katiba ukiendelea kwa mwaka wa pili sasa, serikali ilibadilisha mbinu yake na kuiomba kamati ya ufundi kuchapisha nakala kumi pekee za rasimu ya katiba, ili baraza la mawaziri lipate fursa ya kuiptia kwanza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
again, i see no technical benefit from the ban and while i don't agree with the explosive sectarian situation, i accept that what is happening is a result of real people in crisis and immersed in sectarianism.
ni kweli kuwa kuna majukwaa ya kikabila mtandaoni ambayo yanapaswa kufungwa lakini ni lazima nikubali kwamba majukwaa ya kwenye mtandao yaliyo kwenye upande mwingine wa kisiasa/kidini hayakufungwa na yanaendelea kufanya kazi usiku na mchana yakirusha matusi na kutishia machafuko.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
(the prime minister should be) a person with outstanding technical know-how, a uniter who is able to carry out the policy of the president of the republic.
(waziri mkuu lazima awe) mtu mwenye wasifu wa weledi, mtu atakayewaunganisha watu na mwenye uwezo wa kushughulikia sera za rais wa jamhuri.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@redpepperug: update: mtn confirms 'general call failure' says technical team working to resolve situation #walk2work #ugandanews via @mtnugandacare
@redpepperug: habari mpya: mtn imethibitisha ‘kuharibika kwa mawasiliano ya simu’ inaeleza timu ya ufundi inayoshughulika kutafuta ufumbuzi wa suala hilo #walk2work #ugandanews kupitia @mtnugandacare
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: