From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
science and technology
sayansi na teknolojia
Last Update: 2021-09-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
information communication technology
teknolojia ya mawasiliano ya habari katika kiswahili
Last Update: 2024-06-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
certificate in information technology
shahada ya teknolojia ya habari
Last Update: 2022-10-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
certificate in information communication technology
shahada ya teknolojia ya habari
Last Update: 2022-10-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
best technology blog - techy-africa.
blogu bora ya teknolojia - techy-africa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
advantages and disadvantages of modern technology
faida na hasara za teknolojia ya kisasa
Last Update: 2023-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we used modern technology to guide our decision.
tulitumia teknolojia ya kisasa kuongoza uamuzi wetu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
minister of science and technology mosibudi mangena;
waziri wa sayansi na teknolojia mosibudi mangena;
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
5. integration with technology through a communication application
5. kuunganishwa na teknolojia kupitia maombi ya mawasiliano
Last Update: 2021-10-26
Usage Frequency: 4
Quality:
Reference:
erik shares 5 reports on technology trends in africa:
erik anatushirikisha taarifa 5 kuhusu mwenendo wa teknolojia barani afrika:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
do you know kenyan technology companies that got funded in 2014?
je, unayajua makampuni ya teknolojia nchini kenya yaliyopata ufadhili kwa mwaka 2014?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nakaka ronald, a technology adviser from tanzania, wrote:
nakaka ronald, mshauri wa masuala ya kitekinolojia kutoka tanzania aliandika:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
or will they manage to translate technology into true civic engagement?
au wataweza kutafsiri tekenolojia kuwa ushirikishwaji wa umma wa kweli?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nigeria: will technology impact 2011 elections? · global voices
naijeria: je, teknolojia itaathiri uchaguzi wa mwaka 2011?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
do you know other women working in the fields of technology and transparency?
je, unawafahamu wanawake wengine wanaofanya kazi katika maeneo ya teknolojia na uwazi?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the app was developed by the ministry of communication and technology and ministry of health.
programu hiyo ilitengenezwa na wizara ya mawasiliano na teknolojia na wiraza ya afya.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
used under a creative commons licensebiogas technology is starting a green revolution in nepal.
teknolojia ya gesi inayotokana na samadi inaanzisha mapinduzi ya kijani nchini nepal.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ada lovelace day: celebrating women in technology and transparency worldwide · global voices
siku ya ada lovelace: kuwapongeza wanawake wanajishughulisha kupigania teknolojia na uwazi ulimwenguni
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: