Results for the name when he is asked by he g... translation from English to Swahili

English

Translate

the name when he is asked by he gives

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

how old is your child when he is born?

Swahili

baba mimi ni mtoto wako wangapi kuzaliwa?

Last Update: 2024-08-19
Usage Frequency: 1
Quality:

English

“and from the evil of the envier when he is envious of me.”

Swahili

na shari ya hasidi anapo husudu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but allah - he is the protector, and he gives life to the dead, and he is over all things competent.

Swahili

na yeye ndiye anaye huisha wafu. na yeye ndiye mweza wa kila kitu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for if a man think himself to be something, when he is nothing, he deceiveth himself.

Swahili

mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and why should you not eat of that over which the name of god is pronounced, when he has detailed for you what is prohibited for you, unless you are compelled by necessity?

Swahili

na kwa nini msile katika walio somewa jina la mwenyezi mungu, naye amekwisha kubainishieni alivyo kuharimishieni, isipo kuwa vile mnavyo lazimishwa?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the lord of that servant shall come in a day when he looketh not for him, and in an hour that he is not aware of,

Swahili

bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the woman saith unto him, i know that messias cometh, which is called christ: when he is come, he will tell us all things.

Swahili

huyo mama akamwambia, "najua kwamba masiha, aitwaye kristo, anakuja. atakapokuja atatujulisha kila kitu."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

but every man is tempted, when he is drawn away of his own lust, and enticed.

Swahili

lakini mtu hujaribiwa anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when he gives them a good [child], they ascribe partners to him concerning that which he has given them.

Swahili

basi anapo wapa mwana mwema, wanamfanyia washirikina mwenyezi mungu katika kile kile alicho wapa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when he is told, “beware of god,” his pride leads him to more sin.

Swahili

na akiambiwa: mwogope mwenyezi mungu, hupandwa na mori wa kutenda madhambi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and who does greater evil than he who forges a lie against allah, when he is being called to islam?

Swahili

na ni nani mwenye kudhulumu zaidi kuliko yule anaye mzulia mwenyezi mungu uwongo, naye anaitwa kwenye uislamu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say: 'shall i seek someone other than allah as lord when he is the lord of everything?'

Swahili

sema: je nitafute mola mlezi asiye kuwa mwenyezi mungu, na hali yeye ndiye mola mlezi wa kila kitu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and who doeth greater wrong than he who inventeth a lie against allah when he is summoned unto al-islam?

Swahili

na ni nani mwenye kudhulumu zaidi kuliko yule anaye mzulia mwenyezi mungu uwongo, naye anaitwa kwenye uislamu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and those who accuse their wives and do not have witnesses except their own statements – for such the testimony is that he bear the testimony four times by the name of allah that he is truthful.

Swahili

na wale wanao wasingizia wake zao na hawana mashahidi ila nafsi zao, basi ushahidi wa mmoja wao utakuwa kushuhudilia mara nne kwa kiapo cha mwenyezi mungu ya kwamba hakika yeye ni katika wasema kweli.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when he gives them a good one, they set up with him associates in what he has given them; but high is allah above what they associate (with him).

Swahili

basi anapo wapa mwana mwema, wanamfanyia washirikina mwenyezi mungu katika kile kile alicho wapa. mwenyezi mungu ametukuka na huko kushirikisha kwao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(muhammad), ask the people of the book, "why do you deny the revelations of god when he is well-aware of your dealings?".

Swahili

sema: enyi watu wa kitabu! kwa nini mnakanusha ishara za mwenyezi mungu, na ilhali kuwa mwenyezi mungu ni shahidi kwa yote mnayo yatenda?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and pray thou never over any one of them when he is dead, nor stand over his grave; they disbelieved in god and his messenger, and died while they were ungodly.

Swahili

wala usimsalie kabisa yeyote katika wao akifa, wala usisimame kaburini kwake. hakika hao wamemkataa mwenyezi mungu na mtume wake, na wakafa na hali ni wapotofu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

assuredly allah hath relented toward the prophet and the muhajirs and the ansar who followed him in the hour of distress after the hearts of a part of them had well-nigh swerved aside when he relented toward them. verily he is unto them tender, merciful.

Swahili

mwenyezi mungu amekwisha pokea toba ya nabii na wahajiri na ansari walio mfuata katika saa ya dhiki, pale baada ya kukaribia nyoyo za baadhi yao kugeuka. basi akapokea toba yao, kwani hakika yeye kwao wao ni mpole na ni mwenye kuwarehemu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

woe unto you, scribes and pharisees, hypocrites! for ye compass sea and land to make one proselyte, and when he is made, ye make him twofold more the child of hell than yourselves.

Swahili

"ole wenu walimu wa sheria na mafarisayo, wanafiki! mnasafiri baharini na nchi kavu ili kumpata mtu mmoja afuate dini yenu. mnapompata, mnamfanya astahili maradufu kwenda katika moto wa jehanamu kuliko ninyi wenyewe.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

say, “do you argue with us about god, when he is our lord and your lord, and we have our works, and you have your works, and we are sincere to him?”

Swahili

sema: mnahojiana nasi juu ya mwenyezi mungu, naye ni mola wetu mlezi na mola wenu mlezi, na sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi mna vitendo vyenu? nasi tunamsafia yeye tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,927,560,148 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK