Results for thunder strom translation from English to Swahili

English

Translate

thunder strom

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the thunder proclaims.

Swahili

na radi inamtakasa mwenyezi mungu kwa kumhimidi, na malaika pia, kwa kumkhofu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thunder and lightning struck them because of their unjust demands.

Swahili

wakapigwa na radi kwa hiyo dhulma yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so destroyed were the thamud by a storm of thunder and lightning;

Swahili

basi thamudi waliangamizwa kwa balaa kubwa mno.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the thamud were destroyed by a terrible storm of thunder and lightning;

Swahili

basi thamudi waliangamizwa kwa balaa kubwa mno.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

both the thunder and the angels glorify him and out of his fear always praise him.

Swahili

na radi inamtakasa mwenyezi mungu kwa kumhimidi, na malaika pia, kwa kumkhofu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the thunder hymneth his praise and (so do) the angels for awe of him.

Swahili

na radi inamtakasa mwenyezi mungu kwa kumhimidi, na malaika pia, kwa kumkhofu. naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but the thamud,- they were destroyed by a terrible storm of thunder and lightning!

Swahili

basi thamudi waliangamizwa kwa balaa kubwa mno.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the thunder celebrates his praise and holiness, and the angels, too, celebrate his praise for awe of him.

Swahili

na radi inamtakasa mwenyezi mungu kwa kumhimidi, na malaika pia, kwa kumkhofu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he sends down thunder-bolts to strike whomever he wants, while they are busy arguing about the existence of god.

Swahili

naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye. nao wanabishana juu ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

or it is like that of a rain storm with darkness, thunder, and lightning approaching. they cover their ears for fear of thunder and death.

Swahili

au ni kama mvua kubwa itokayo mbinguni, ina giza na radi na umeme; wakawa wakitia vidole vyao masikioni mwao kwa ajili ya mingurumo, kwa kuogopa kufa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the thunder halloweth his praise, and so do the angels in awe of him; and he sendeth the thunderbolts and smiteth therewith whomsoever he will.

Swahili

na radi inamtakasa mwenyezi mungu kwa kumhimidi, na malaika pia, kwa kumkhofu. naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and i saw when the lamb opened one of the seals, and i heard, as it were the noise of thunder, one of the four beasts saying, come and see.

Swahili

kisha nikamwona mwanakondoo anavunja mhuri mmojawapo wa ile mihuri saba. nikasikia kimoja cha vile viumbe hai vinne kikisema kwa sauti kama ya ngurumo, "njoo!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

or like a rainstorm from the sky, wherein is darkness, thunder, and lightning. they thrust their fingers in their ears to keep out the stunning thunderclap for fear of death.

Swahili

au ni kama mvua kubwa itokayo mbinguni, ina giza na radi na umeme; wakawa wakitia vidole vyao masikioni mwao kwa ajili ya mingurumo, kwa kuogopa kufa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the thunder glorifies him with his praise and the angels do so too in awe of him, and he sends his thunderbolts to strike anyone he pleases, yet they dispute about god, who is inexorable in his power.

Swahili

na radi inamtakasa mwenyezi mungu kwa kumhimidi, na malaika pia, kwa kumkhofu. naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

or [it is] like a rainstorm from the sky within which is darkness, thunder and lightning. they put their fingers in their ears against the thunderclaps in dread of death.

Swahili

au ni kama mvua kubwa itokayo mbinguni, ina giza na radi na umeme; wakawa wakitia vidole vyao masikioni mwao kwa ajili ya mingurumo, kwa kuogopa kufa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the thunder declares his glory with his praise, and the angels too for awe of him; and he sends the thunderbolts and smites with them whom he pleases, yet they dispute concerning allah, and he is mighty in prowess.

Swahili

na radi inamtakasa mwenyezi mungu kwa kumhimidi, na malaika pia, kwa kumkhofu. naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and cried with a loud voice, as when a lion roareth: and when he had cried, seven thunders uttered their voices.

Swahili

na kuita kwa sauti kubwa kama ya mngurumo wa simba. alipopaaza sauti, ngurumo saba ziliitikia kwa kishindo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,154,826,618 human contributions

Users are now asking for help:

We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK