From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
this is to divide the people and the army.
hii itapelekea mgogoro miongoni mwa watu na pia katika jeshi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this was about 105 goats where the committee was able to divide the goats into 21 phases.
huu walikuwa mbuzi wapatao 105 ambapo kamati iliweza kugawa mbuzi katika awamu 21
Last Update: 2023-09-27
Usage Frequency: 1
Quality:
and there are those who have taken a mosque to cause harm, disbelief, and to divide the believers, and as a place of ambush for those who fought allah and his messenger before.
na wapo walio jenga msikiti kwa ajili ya madhara na ukafiri na kuwafarikisha waumini, na pa kuvizia kwa walio mpiga vita mwenyezi mungu na mtume wake hapo kabla.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
say, "he has the power to send punishment on you from above your heads or from beneath your feet, or to divide you in sects and make you taste one another's violence."
sema: yeye ndiye muweza wa kukuleteeni adhabu kutoka juu yenu au kutoka chini ya miguu yenu, au kukuleteeni fujo la mfarakano, na kuwaonjesha baadhi yenu jeuri ya wenzao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
5) as for operation turquoise, it continues to divide: it certainly saved tutsi lives, but the army is accused of having remained passive - and therefore was accomplice - to the atrocities.
5) kama ilivyokuwa kwa operation turquoise, iliendelea kusababisha mgawanyiko: ilisaidia watutsi kuishi, lakini jeshi linatuhumiwa kubaki kimya -na hivyo kuwa kama linawasaidia waliokuwa wanaendesha mauaji.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
say, "god has the power to send torment on you from above or below your feet, or to divide you into different groups quite hostile to one another, and make you suffer from each other's animosity."
sema: yeye ndiye muweza wa kukuleteeni adhabu kutoka juu yenu au kutoka chini ya miguu yenu, au kukuleteeni fujo la mfarakano, na kuwaonjesha baadhi yenu jeuri ya wenzao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
guide to interviews between researcher and students first question: how does a hisbati teacher use ict in the classroom? a) he used telephone for communication topics b) he spent hours in teaching hours and minutes c) the teacher used the phone to write on the board d) he used the phone on the topic of paithagoras e) he used kalibring you to divide questions f) he used a phone for communication g) he used the phone to multiply h) the mathematics teacher used the phone to search for mathematical answers i) bring us issues
mwongozo wa mahojiano baina ya mtafiti na wanafunzi swali la kwanza: mwalimu wko wa hisbati antumia vipi tehama darasani? a) alitumia simu kwa ajili ya mada ya mawasiliano b) alitumia saa katika kufundisha saa na dakika c) mwalimu alitumia simu kuandikia ubaoni d) alitumia simu katika mada ya paithagoras e) alitumia kalikuleta kugawanya maswali f) alitumia simu kwa ajili ya mawasiliano g) alitumia simu kuzidisha h) mwalimu wa hisabati alitumia simu kutafuta majibu ya hisabati i) katuletea maswal
Last Update: 2022-10-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: