From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
farm tools and there uses
zana za kilimo na huko hutumia
Last Update: 2024-01-30
Usage Frequency: 1
Quality:
their counterparts working in mines, meanwhile, are handling dangerous tools and are made to work without protective equipment for long hours.
wenzao wanaofanya kazi kwenye migodi, wakati huo huo, huwa wanatumia vifaa ambavyo ni hatari na wanafanyishwa kazi kwa muda mrefu na bila ya kuwa na vitu vya kuwakinga na hatari mbalimbali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
eiler observed that child workers are exposed to extreme weather conditions, long working hours and a difficult environment while using substandard tools and equipment.
eiler iligundua kuwa, watoto wanaotumikishwa hufanyishwa kazi kwenye hali mbaya ya hewa, kufanya kazi kwa muda mrefu sana na kwenye mazingira magumu huku wakitumia zana na vifaa vya kufanyia kazi ambavyo ni duni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a risk register is a document used as a risk management tool and to fulfill regulatory compliance acting as a repository for all risks identified and
kujiandikisha kwa hatari
Last Update: 2024-10-11
Usage Frequency: 1
Quality:
governments have mastered the tools and techniques of censorship in the traditional media.
serikali zimefuzu nyenzo na mbinu za kuchuja habari kwenye vyombo vya habari vya kitamaduni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
how might the party re-tool and redefine its approach to the internet and social media in light of its shifting approach to national security?
jinsi gani chama kuifanya upya na kutafsiri mfumo wake kwa mtandao na vyombo vya habari vya kijamii katika mwanga wa kubadili mtazamo wake kwa usalama wa taifa?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
so did the iranian presidential election change the dynamics of citizen media tools and channels?
je uchaguzi warais nchini irani ulibadilisha matumizi ya zana za uanahabari wa kiraia na njia zake?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we are gathering information and leads here on the damage on global voices checkdesk, a collaboration project between meedan checkdesk, an online news verification tool, and global voices online.
tunaendelea kukusanya taarifa na vyanzo zaidi viko hapa kuhusu tukio hilo kwenye dawati la global voices uthibitisho, mradi unaowezeshwa kwa ushirikiano na meedan checkdesk, zana ya mtandaoni ya uthibitisho wa habari, pamoja na global voices online.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
laurence clarke, head of the bank's south sudan programme, explains that fund money was used to buy computers, software and equipment for satellite links in juba, the south's threadbare capital.
lawrence clarke, kiongozi wa programu ya benki hiyo huko sudani ya kusini, anafafanua kuwa fungu la fedha lilitumika kununulia kompyuta, programu na vifaa vya setilaiti mjini juba, mji mkuu uliochoka sana wa kusini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
basic infection prevention measures recommended for all workplaces include frequent and thorough hand washing, encouraging workers to stay home if they are sick, respiratory etiquette including covering coughs and sneezes, providing tissues and trash receptacles, preparing for telecommuting or staggered shifts if needed, discouraging workers from using others' tools and equipment, and maintaining routine cleaning and disinfecting of the work environment.
hatua msingi za kuzuia maambukizi zilizopendekezwa kwa mandhari za kazi zote inajumuisha kuosha kwa mikono mara kwa mara na vizuri, kuhimiza wafanyakazi kubaki nyumbani ikiwa ni wagonjwa, adabu ya kupumua ikiwemo kufunika kikohozi na kupiga chafya, kutoa tishu na pipa za takataka, kujitayarisha kwa kufanya kazi kutoka nyumbani au kufanya kazi kwa zamu zilizolegezwa kama inahitajika, kuwashauri wafanyakazi kutotumia vifaa vya wengine, na kudumisha usafishaji wa uratibu na kusafisha kwa dawa ya mandhari ya kazi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.