From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
after travel, monitor your health and consider self-isolation for two weeks to avoid transmitting the disease to others.
baada ya kusafiri, fuatilia afya yako na uzingatie kujitenga binafsi kwa wiiki mbili ili uepuke kuwaambukiza watu wengine virusi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
it is very important for health authorities to adjust the effective quarantine time based on the most accurate incubation period, thus preventing infected but symptomless people from transmitting the virus to others.
ni muhimu kwa mamlaka ya afya kurekebisha muda faafu wa karantini kulingana na kipindi sawa zaidi cha kuatamia, hivyo kuzuia watu walioambukizwa wasioonyesha dalili kusambaza virusi kwa wengine.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the new england journal of medicine reports that a lack of hand-washing remains at unacceptable levels in most medical environments, with large numbers of doctors and nurses routinely forgetting to wash their hands before touching patients, thus transmitting microorganisms.
jarida la the new england linaripoti kuwa ukosefu wa kuosha mikono unasalia katika viwango visivyokubalika katika mazingira mengi ya kimatibabu, huku idadi kubwa ya madaktari na wauguzi wakisahau kila mara kuosha mikono yao kabla ya kuwagusa wagonjwa na hivyo kusambaza viini.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the purpose of hand-washing in the health-care setting is to remove pathogenic microorganisms ("germs") and avoid transmitting them.
madhumuni ya kuosha mikono katika sehemu ya huduma za afya ni ili kuondoa viini vya magonjwa ("vijidudu") na kuzuia kuvisambaza.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting