Results for unified translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

nyerere unified the country by aggressively adopting the swahili language into the fabric and way of life of tanzanians.

Swahili

nyerere aliiunganisha nchi kwa kupigania sana lugha ya kiswahili na kuifuma pamoja katika maisha ya kijamii ya watanzania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

much like his dreams for human rights, nelson mandela has also dreamed of african wilderness being unified in peace across many countries.

Swahili

kama ilivyokuwa kwa ndoto zake kuhusu haki za binadamu, nelson mandela pia alikuwa na ndoto kuhusu maisha ya viumbe kwenye mapori ya afrika ili viumbe hao waunganishwe kwa amani katika nchi nyingi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the donor countries are diverse, from europe, north america and asia, and they have rarely acted with a unified voice.

Swahili

na nchi wafidhili zinatofautiana, kuanzia ulaya, marekani kaskazini na asia, na kwa nadra sana hutenda kwa kauli moja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

pushing holistic approaches, which when used singularly, cannot be an effective treatment for the virus, they battered their nation with their fortified and unified ignorance.

Swahili

kutumia njia ya kutazama tatizo zima kwa upana badala ya chanzo chake, pasipo kuingiza na njia nyingine, hakuwezi kuwa njia madhubuti ya kutibu vvu, waliingiza nchi katika wakati mgumu kwa kutumia umbumbumbu wao ambao waliulinda kwa njia zote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and while msfour, and american expat living in cairo, was the first to ask bloggers on twitter to use the tag #cairobomb, arabawy was the first to ask bloggers to use a unified delicious tag: el-husseinexplosion to pool all links under the same url.

Swahili

wakati msfour, mfanyakazi wa kimarekani anayeishi kairo, alikuwa wa kwanza kuwataka wanablogu wanaotumia twita kutumia kielelezo cha #cairobomb, arabawy ndiye alikuwa wa kwanza kuwataka wanablogu watumie kielelezo jumuishi cha delicious: el-husseinexplosion ili kukusanya viunganishi vyote chini ya anwani pepe moja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,144,860,689 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK