Results for unleavened translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

unleavened

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

then came the day of unleavened bread, when the passover must be killed.

Swahili

basi, siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika. hiyo ndiyo siku ambayo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

now the feast of unleavened bread drew nigh, which is called the passover.

Swahili

sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo pasaka, ilikuwa inakaribia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we sailed away from philippi after the days of unleavened bread, and came unto them to troas in five days; where we abode seven days.

Swahili

sisi, baada ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, tulipanda meli kutoka filipi na baada ya siku tatu tukawafikia kule troa. huko tulikaa kwa muda wa juma moja.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and because he saw it pleased the jews, he proceeded further to take peter also. (then were the days of unleavened bread.)

Swahili

alipoona kuwa kitendo hiki kiliwapendeza wayahudi, aliendelea, akamkamata petro. (hiyo ilifanyika wakati wa sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu.)

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

therefore let us keep the feast, not with old leaven, neither with the leaven of malice and wickedness; but with the unleavened bread of sincerity and truth.

Swahili

basi, tufanye karamu hiyo si kwa chachu ile ya kale, chachu ya ubaya na uovu, bali kwa mkate usiotiwa chachu, mkate wa usafi na kweli.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after two days was the feast of the passover, and of unleavened bread: and the chief priests and the scribes sought how they might take him by craft, and put him to death.

Swahili

ilikuwa siku mbili tu kabla ya sikukuu ya pasaka na ya mikate isiyotiwa chachu. makuhani wakuu na walimu wa sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumtia yesu nguvuni kwa hila wamuue.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,040,594,774 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK