From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
how to upload photos
kupakiza
Last Update: 2022-01-28
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the opposite of the word upload
kinyume cha neno pakia
Last Update: 2024-09-04
Usage Frequency: 4
Quality:
Reference:
the opposite of the word upload what is the answer
kinyume cha neno pakia ni nini jibu
Last Update: 2024-12-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
users of their system upload only the information they themselves find safe to share which enables them to stay anonymous.
watumiaji wa mfumo wao huweka taarifa zao binafsi wanazoona ni salama kuzitangaza hadharani ambazo bado ziwafanye wabaki kuwa na faragha ya kutokufahamika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
you can upload a recording or a video — or simply click a button and sing into your mobile device or computer.
zipandishe ziwe kwa mfumo wa sauti na video -au kwa kubofya kitufe na kusikiliza kwenye kifaa chako cha mkononi au kompyuta.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
filipino activists are worried that the cybercrime bill would now make it unlawful to publish or upload materials that contradict the official state interpretation of what is decent, moral, and proper.
wanaharakati wa kifilipino wana mashaka kuwa muswaada wa uhalifu wa mtandaoni sasa unaweza kufanya kuwa kinyume cha sheria kuchapisha au kupakia maudhui yaliyo kinyume cha tafsiri ya serikali ya vitu vyenye heshima, maadili na sawa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
many chose to upload their videos directly to facebook where one can hear north american languages like kwak'wala and lakota, as well as the miriwoong language from australia, for example.
wengi huchagua kupandisha video zao moja kwa moja kwenye mtandao wa facebook na huko husikia lugha zinazozungumzwa kwenye bara za amerika kaskazini kama vile kwak'wala na lakota, vile vile lugha ya miriwoong kutoka australia, kwa mfano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
han seth lu, a buddhist, uploads a photo with his muslim friend:
han seth lu, mwislamu, aliweka picha hii akiwana rafiki yake mbudha:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: