Results for vainglorious translation from English to Swahili

English

Translate

vainglorious

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

allah does not love the vainglorious, the boastful,

Swahili

na mwenyezi mungu hampendi kila anaye jivuna akajifakhirisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah does not love the arrogant and the vainglorious.

Swahili

hakika mwenyezi mungu hampendi kila anaye jivuna na kujifakhirisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

is hell not vast enough to provide a room to the vainglorious?

Swahili

je! si katika jahannamu makaazi ya wanao takabari?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

herein shall you abide.” how evil is the abode of the vainglorious!

Swahili

basi nayo ni ubaya ulioje wa makaazi ya wanao takabari!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and turn not away thy cheek from men nor walk on the earth stultingly, verily allah loveth not any vainglorious boaster.

Swahili

wala usiwabeuwe watu, wala usitembee katika nchi kwa maringo. hakika mwenyezi mungu hampendi kila anaye jivuna na kujifakhirisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this is announced lest ye sorrow for the sake of that which hath escaped you, or exult over that which he hath vouchsafed unto you: and allah loveth not any vainglorious boaster:

Swahili

ili msihuzunike kwa kilicho kupoteeni, wala msijitape kwa alicho kupeni. na mwenyezi mungu hampendi kila anaye jivuna akajifakhirisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and worship allah and associate not aught with him; and unto parents show kindness, and also unto kindred and orphans and the needy and the near neighbour and the distant neighbour and the companion by your side and the wayfarer and those whom your right hands own verily allah loveth not one who is vainglorious, boaster-

Swahili

na wafanyieni wema wazazi wawili na jamaa na mayatima na masikini na jirani wa karibu na jirani wa mbali, na rafiki wa ubavuni na mpita njia, na walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. hakika mwenyezi mungu hawapendi wenye kiburi wanao jifakhiri,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,881,387,704 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK