Results for variation translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

you will not find any variation in our line of action.

Swahili

wala hupati mabadiliko katika mwendo wetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

had it been the word of any other but god they would surely have found a good deal of variation in it.

Swahili

na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa mwenyezi mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and of his signs are the creation of the heavens and the earth, and the variation of your languages and complexions; verily herein are signs for men of knowledge.

Swahili

na katika ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na kutafautiana ndimi zenu na rangi zenu. hakika katika hayo zipo ishara kwa wajuzi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

most surely in the variation of the night and the day, and what allah has created in the heavens and the earth, there are signs for a people who guard (against evil).

Swahili

hakika katika kukhitalifiana usiku na mchana, na katika alivyo umba mwenyezi mungu katika mbingu na ardhi, zipo ishara kwa watu wanao mcha-mngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a study performed in 2010–11 showed a large variation in the availability of intensive care and intermediate care beds in europe, ranging from 29.2 in germany to 4.2 beds per 100,000 population in portugal.

Swahili

utafiti uliofanywa 2010-11 ulionyesha tofauti kubwa katika upatikanaji wa vitanda vya matibabu ya hali mahututi na ya wastani barani ulaya, kuanzia 29.2 nchini ujerumani hadi vitanda 4.2 kwa kila idadi ya watu 100,000 nchini ureno.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and (in) the variation of the night and the day, and (in) what allah sends down of sustenance from the cloud, then gives life thereby to the earth after its death, and (in) the changing of the winds, there are signs for a people who understand.

Swahili

na kupishana usiku na mchana, na riziki anayo iteremsha mwenyezi mungu kutoka mbinguni, na kwayo akaifufua ardhi baada ya kufa kwake, na mabadiliko ya upepo, ni ishara kwa watu wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,167,010,732 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK