Results for vendor translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

vendor

Swahili

mchuuzi

Last Update: 2017-05-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

being a street vendor is not an easy job, especially in senegal.

Swahili

muda mfupi baada ya kuwasili kwangu senegal, nilikutana na kijana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

after he made ​​me do a round as a vendor, supposedly for my training.

Swahili

kwanza, akanizungusha mitaani nikiuza bidhaa zake, eti nipate mafunzo. aliifurahia faida aliyoipata kazi yangu mpya ikanipa uelewevu bora zaidi wa sekta isiyo rasmi nchini humu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this tweet brings back to our memories the spark which ignited the arab revolutions, in december 2010, when tunisian fruit vendor mohammed bouazizi set himself on fire.

Swahili

twiti hii inatukumbusha tukio lililosababisha mapinduzi ya kiarabu, mwezi desemba 2010, wakati mchuuzi wa matunda wa kitunisia mohammed bouazizi kujilipua kwa moto.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

1 all small shops, houses, vendor's stalls that don't look nice enough are being destroyed with a large caterpillar.

Swahili

1. maduka yote madogo, nyumba, vibanda vya wachuuzi ambavyo havina sura nzuri vianbomolewa na makatapila makubwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ashley koen (@a_koen) was concerned about innocent civilians who were rounded up to "clean up the city" - it is a commons practice in most african countries when a foreign head of state, especially from europe and usa visits, for street vendors to be removed:

Swahili

ashley koen (@a_koen) alikuwa na wasiwasi na wananchi wasiona hatia waliofukuzwa katika jitihada za "kusafisha mji" -ni shughuli ya kawaida katika nchi nyingi za afrika wakati mkuu wa nchi ya kigeni, hasa kutoka ulaya na marekani anapokuja, kwa wazururaji wa mitaani kuondolewa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,647,543,267 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK