Results for verdict translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

verdict

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

so the verdict is in.

Swahili

kwa hiyo hukumu imetolewa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we are waiting for the verdict.

Swahili

bado tunasubiri hukumu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(muhammad), they seek your verdict.

Swahili

wanakuomba uhukumu, sema: mwenyezi mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they ask you for a legal verdict.

Swahili

wanakuomba uhukumu, sema: mwenyezi mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@jraghu - indian citizens give verdict.

Swahili

@jraghu – wananchi wa india wametoa hukumu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they fain would change the verdict of allah.

Swahili

wanataka kuyabadili maneno ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

notes from abroad is also not surprised by the verdict.

Swahili

notes from abroad naye pia hashangazwi na hukumu hiyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if you desire a verdict, the verdict has come to you.

Swahili

kama mnataka hukumu basi hukumu imekwisha kujieni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the verdict will only give omni hospital a bad rep. #freeprita

Swahili

hukumu hiyo itazidi kutoa sura mbaya ya hospitali hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@salamander: in utter shock of the #ngotrial verdict!!

Swahili

@salamander: kwa mshtuko mkubwa juu ya uamuzi #kesiyango!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

azerbaijan: more reaction to video blogger trial verdict · global voices

Swahili

azerbaijan: baada ya hukumu ya wanablogu wa video

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

following the verdict, egyptian blogger mahmoud salem, or sandmonkey, tweets:

Swahili

kufuatia uamuzi huo, mwanablogu wa misri mahmoud salem,au sandmonkey, alitwiti:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the verdict will be given against them, because they did wrong, and they will be speechless.

Swahili

na kauli itawaangukia juu yao kwa vile walivyo dhulumu. basi hao hawatasema lolote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in whatever you may differ, [o believers] the verdict thereon rests with god.

Swahili

na mkikhitalifiana katika jambo lolote, basi hukumu yake iko kwa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the historic verdict was broadcast live, prompting netizens to post reactions online as the court session progressed.

Swahili

hukumu hiyo ya kihistoria ilitangazwa moja kwa moja, ikiwafanya raia wa mtandaoni kushindwa kuzuia hisia zao katika mtandao wakati vikao vya mahakama vikiendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

• in most cases if not all of them the grand mufti approves and supports the judge’s verdict.

Swahili

katika kesi nyingi, kama siyo zote mufti mkuu hukubali na kuunga mkono hukumu ya hakimu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i believe this verdict will also be a setback in the relation between the united states and the muslim brotherhood as well eu and the muslim brotherhood.

Swahili

naamini uamuzi huu utakuwa kikwazo katika uhusiano kati ya marekani na chama cha muslim brotherhood na pia kati ya umoja wa ulaya na muslim brotherhood.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

90% of egyptians do not believe he did it and the court owes it to the egyptians to announce what they based the verdict upon!!

Swahili

asilimia 90 ya wamisri hawaamini kuwa alifanya na mahakama inapaswa kuwaeleza wamisri msingi wa hukumu hii!!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he appeared in a q&a with journalists following the verdict on march 14 explaining among other things the importance of video in the trial.

Swahili

alishiriki pia katika kipindi cha maswali na majibu na waandishi wa habari kufuatia hukumu hiyo mnamo machi 14 akieleza pamoja na mambo mengine umuhimu wa picha za video katika uendeshaji mashitaka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the gruesome murder took place in dubai, uae, and thursday's sentence was met with shock and bewilderment as the blogosphere comes to terms with the verdict.

Swahili

mauaji hayo ya kinyama yalitokea huko dubai, uae, na hukumu iliyotolewa alhamisi imesababisha mshtuko na mshangao wakati wanablogu walipojaribu kukubaliana na yaliyotukia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,800,136,401 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK