Results for vital translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

vital signs

Swahili

mahojiano

Last Update: 2016-05-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ask: "of all things what is most vital as evidence?"

Swahili

sema: kitu gani ushahidi wake mkubwa kabisa? sema: mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the translation of news and reports by volunteers plays a vital role in this alternative information flow.

Swahili

tafsiri za habari na taarifa za wale wanaojitolea zinatoa huduma muhimu sana katika huu mtiririko mbadala wa habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the issue selected – africa’s electricity challenge – is clearly a vital one.

Swahili

jambo lenyewe lililochaguliwa -changamoto ya umeme barani afrika- linao umuhimu mkubwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the move seems to have come in retaliation to an attack by anonymous, which has targeted vital tunisian government sites and gateways.

Swahili

hatua hii inaonekana kuja kama kulipiza kisasi kwa shambulio lililofanywa na kikundi cha wanaharakati wa mtandaoni wanaojulikana kama anonymous, ambalo lililenga njia na mitandao ya muhimu ya serikali ya tunisia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the civil society, media and religious institutions are playing a vital role in making sure that the electorate have the right information concerning the elections.

Swahili

vyama vya kiraia, vyombo vya habari na taasisi za kidini vinafanya wajibu wake muhimu katika kuhakikisha kuwa wapiga kura wanazo taarifa sahihi kuhusiana na uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

people are managed with supportive care, which may include fluid therapy, oxygen support, and supporting other affected vital organs.

Swahili

watu hudhbitiwa kwa utunzaji, ambayo inaweza kujumuisha kutumia kioevu kama matibabu, msaada wa oksijeni, na kutibu viungo vingine vilivyoathiriwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

candomblé is one such impact, a religion filled with many secrets, symbols and rituals known only to initiates but it is also a vital part of cultural expression in brazil.

Swahili

candomblé ni mojawapo ya athari hizo, dini iliyojawa na siri nyingi, ishara za matambiko yanayofahamika tu kwa wanaopitipia matambiko hayo lakini pia ni ni sehemu muhimu ya utamaduni wa brazili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

for refugee's health and well-being and ability to resettle, it is vital to know the whereabouts of relatives, their safety, and their ability to remain in contact.

Swahili

ili kuwa na afya njema na ustawi na uwezo wa kutulia tena, ni muhimu kufahamu walipo ndugu na jamaa, usalama wao, na uwezo wao wa kuendelea kuwasiliana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in addition, the maintenance of electrolyte balance, the prevention and treatment of secondary infection and septic shock, and the protection of the functions of the vital organs are also essential for sars-cov-2 patients.

Swahili

vilevile, kudumisha usawa wa electrolyte, kuzuia na kutibu maambukizi ya pili na kutofanya kazi kwa viungo vya mwili na ulinzi wa utendakazi wa viungo muhimu pia ni muhimu kwa wagonjwa wa sars-cov-2.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,906,554,753 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK