From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
they did not run, they waited for the cops.
hawakukimbia, waliwasubiri polisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
if they had waited for you to come out it would have been better for them.
na lau wao wangeli ngojea mpaka uwatokee ingeli kuwa kheri kwao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and the people waited for zacharias, and marvelled that he tarried so long in the temple.
wakati huo, wale watu walikuwa wanamngoja zakariya huku wakishangaa juu ya kukawia kwake hekaluni.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
i had to get up and waited for some time before men with less serious injuries cleaned the way out.
ilinibidi ninyanyuke na kusubiri kwa muda kiasi kabla ya watu wenye majeraha mado waliposafisha njia ya kutoka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
voters waited for hours to elect their representatives, in the first free and fair election of the so called arab spring.
wapiga kura walisubiri kwa saa kadhaa ili kuwachagua wabunge, , katika uchaguzi wa kwanza ulio huru na haki kwa kile kinachoitwa maasi ya uarabuni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
upon arriving there, they were taken to a small room where they waited for hours before they were called separately for investigation.
baada ya kuwasili hapo, walipelekwa kwa chumba kidogo ambapo walisubiri kwa masaa kadhaa kabla ya wao kuitwa kivyao kwa ajili ya mahojiano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i feared lest thou shouldst say: thou hast caused division among the children of israel, and hast not waited for my word.
kwa hakika naliogopa usije sema: umewafarikisha wana wa israil, na hukungojea kauli yangu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
“i had just arrived and was having a drink as i waited for the football match to begin, then i heard an explosion, and another and another.
"nilikuwa ndio tu nimewasili na nilikuwa nakunywa kinywaji nikisubiri mechi ya mpira ianze, ndipo nikasikia mlipuko, mlipuko mwingine tena, na mwingine.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
joseph of arimathaea, and honourable counseller, which also waited for the kingdom of god, came, and went in boldly unto pilate, and craved the body of jesus.
hapo akaja yosefu mwenyeji wa armathaya, mjumbe wa baraza kuu, aliyeheshimika sana. yeye pia alikuwa anatazamia kuja kwa ufalme wa mungu. basi, alimwendea pilato bila uoga, akaomba apewe mwili wa yesu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
people came out to vote, voted, and even waited for the votes to be counted, without being intimidated by gun-trotting hoodlums, as was the case 2007.
watu walikuja kupiga kura, na wakasubiri kura zihesabiwe, bila ya kubugudhiwa na wahuni wenye bunduki, kama ilivyokuwa mwaka 2007.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
(the same had not consented to the counsel and deed of them;) he was of arimathaea, a city of the jews: who also himself waited for the kingdom of god.
alikuwa akitazamia kuja kwa ufalme wa mungu. ingawa alikuwa mmoja wa baraza kuu la wayahudi, hakuwa amekubaliana nao katika kitendo chao.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
on her facebook wall, journalist natalia gevorkyan wondered why the kremlin has to make everything a “special operation," noting how putin waited for wide speculation in the media to accumulate before announcing his divorce.
kwenye ukurafsa wake wa facebook, mwandishi natalia gevorkyan alishangaa kwa nini ikulu ya kremlin inapenda kufanya kila kitu kiwe "operesheni maalumu," akibainisha namna putin alivyosubiri uchokonozi wa magazeti ujue kila kitu kabla hajatangaza talaka yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
he said: o son of my mother! seize me not by my beard nor by my head; surely i was afraid lest you should say: you have caused a division among the children of israel and not waited for my word.
usinishike ndevu zangu, wala kichwa changu. kwa hakika naliogopa usije sema: umewafarikisha wana wa israil, na hukungojea kauli yangu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they will call out to them, saying: 'were we not with you' 'yes' they will reply, 'but you tempted yourselves, you waited (for problems to befall thebelievers), and you doubted, and were deluded by your own fancies until the command of allah came, and the deluder (satan) deluded you concerning allah.
watawaita wawaambie: kwani vile hatukuwa pamoja nanyi? watawaambia: ndiyo, lakini mlijifitini wenyewe, na mkasitasita, na mkatia shaka, na matamanio ya nafsi zenu yakakudanganyeni. mpaka ilipo kuja amri ya mwenyezi mungu, na mdanganyifu akakudanganyeni msimfuate mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: