From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
she managed to get out.
yeye aliwahi kukimbilia nje.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i'm going to get out of the d
ndio nimetoka kuamka
Last Update: 2024-03-18
Usage Frequency: 1
Quality:
one who wants you out does not tell you to get out
akufukuzaye hakwambii toka
Last Update: 2024-03-22
Usage Frequency: 3
Quality:
now we confess our sins, then is there any way to get out (of the fire)?"
basi je, ipo njia ya kutoka?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
this is a real concern if you're trying to get out of an affected area.
huu ni wasiwasi wa kweli ikiwa unajaribu kutoka eneo lililoathirika.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
and they said, ‘whatever sign you may bring us to bewitch us, we are not going to believe you.’
na wakisema: hata ukituletea ishara yoyote kutuzuga hatuto kuamini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
the lord ordered satan to get out (of paradise) saying, "this is no place for you to be proud.
akasema: basi teremka kutoka humo! haikufalii kufanya kiburi humo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
they will wish to get out of the fire but they will not have such a choice. their torment will be constant.
watataka watoke motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he said: yes, and you shall certainly be of those who are near (to me).
akasema: naam! nanyi bila ya shaka mtakuwa katika wa karibu nami.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in order that you may not be sad over matters that you fail to get, nor rejoice because of that which has been given to you.
ili msihuzunike kwa kilicho kupoteeni, wala msijitape kwa alicho kupeni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in whatever activity you may be engaged, and whichever part of the quran you recite, and whatever deed you do, we are witness to it when you are engaged in it.
na huwi katika jambo lolote, wala husomi sehemu yoyote katika qur'ani, wala hamtendi kitendo chochote ila sisi huwa ni mashahidi juu yenu mnapo shughulika nayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
their wish will be to get out of the fire, but never will they get out therefrom: their penalty will be one that endures.
watataka watoke motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
[the angels] who are near to your lord, never turn away from his service out of arrogance; they rather glorify him and prostrate themselves before him.
hakika wale walioko kwa mola wako mlezi hawajivuni wakaacha kumuabdu, na wanamtakasa na wanamsujudia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
every time they try to get out of it, they will be brought back into it, and it will be said to them, “taste the suffering of the fire which you used to deny.”
kila wakitaka kutoka humo watarudishwa humo humo. na wataambiwa: onjeni adhabu ya moto ambayo mliyo kuwa mkiikanusha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
(o prophet!) whatever you may be engaged in, whether you recite any portion of the qur'an, or whatever else all of you are doing, we are witnesses to whatever you may be occupied with.
na huwi katika jambo lolote, wala husomi sehemu yoyote katika qur'ani, wala hamtendi kitendo chochote ila sisi huwa ni mashahidi juu yenu mnapo shughulika nayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
land deals have been discussed at length in madagascar as a way to get out of poverty; the aborted daewoo deal was the most publicized case but similar deals have been implemented without much hesitation or reaction.
makubaliano ya matumizi ya ardhi yamejadiliwa kwa kirefu nchini madagaska kama njia ya kuondokana na umasikini; mkataba uliovunjwa wa daewoo uliokuwa umetangazwa sana pengine kuliko yote lakini mikataba inayofanana na huo imekuwa ikitekelezwa bila kuchelewa wala miitikio kutoka kwa raia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the messiah does by no means disdain that he should be a servant of allah, nor do the angels who are near to him, and whoever disdains his service and is proud, he will gather them all together to himself.
masihi hataona uvunjifu kuwa mtumwa wa mwenyezi mungu, wala malaika walio karibishwa. na watakao ona uvunjifu utumwa wa mwenyezi mungu na kufanya kiburi, basi atawakusanya wote kwake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
the skies are near to bursting asunder above them (for awe of him), and the angels sing the praises of their lord, imploring forgiveness for the dwellers of the earth.
zinakaribia mbingu kupasuka juu huko, na malaika wakimtakasa mola wao mlezi na kumhimidi, na wakiwaombea maghfira waliomo kwenye ardhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
this is why we should give time to ask your soul and ponder the dead who were the same goals as yours until they die no one is going to finish their challenges in this world for do what is good and the people who are good to make sacrifices help people to get well don't blame people give your soul and let us go back to knowing the legal elm and sticking with the conduct of the religion of god any time we are dead to your soul as any time you will leave. and there was no one who had sown or reaped
hii ndio maana ya muda tuupe muda iulize nafsi yako na utafakari waliokufa walikuwa wanamalengo kama yako mpaka wanakufa hakuna alie wai maliza changamoto zake kweny hii dunia kwani fanya yalio mema kaa na watu wakheri toa sadaka saidia watu ishinawatu vizuri usilaumu watu ipe nafsi yako nasaa na turejee kuijua elmu ya kisheria na kushikaman na mwenendo wa dini ya allah muda wowote sisi ni maiti iusie nafsi yako kwani muda wowote ule utaondoka na haliyakuwa hakuna ulichopanda wala ulicho kivuna
Last Update: 2024-10-18
Usage Frequency: 1
Quality:
every time they want to get out of hellfire from anguish, they will be returned to it, and [it will be said], "taste the punishment of the burning fire!"
kila wakitaka kutoka humo kwa sababu ya uchungu watarudishwa humo humo, na wataambiwa: onjeni adhabu ya kuungua!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting