Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
we need to keep our ears open.
inatupasa kufungua masikio yetu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we need to survive!
tunahitaji kuendelea kuishi!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we need to talk about race.
tunahitaji kuzungumzia kuhusu rangi za watu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we need to encourage the potential in all of our young people.
tunahitaji kuwatia moyo vijana wote ili kile kilichomo ndani mwao kitimie.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we need more scholars on tajikistan like alex.
tunahitaji wasomi zaidi nchini tajikistan kama alex.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we need each other to live a prosperous life
tunahitaji kila mmoja kuishi
Last Update: 2021-12-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we need to collectively defend our human rights and our ancestral land.”
kwa pamoja, tunahitaji kulinda haki zetu pamoja na ardhi yetu tuliyoirithi kutoka kwa mababu zetu.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we need to encourage more reader and listener participation.
inabidi tuwape moyo wasomaji na wasikilizaji kujishirikisha zaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
obama is the kind of leader we need in this world.
obama ni aina ya kiongozi tunayemuhitaji katika dunia ya leo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sign reads "uncle and aunt, we need clean air!"
bango linasomeka "mjomba na shangazi, tunahitaji hewa salama!"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
but we need to treat every chest pain with the utmost seriousness
lakini tunapaswa kuchukulia kila maumivu ya kifua kwa umakini mkubwa
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lord, we need your forgiveness and to you we shall return."
tunakutaka maghfira mola mlezi wetu! na marejeo ni kwako.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
now more than ever we need our rock star encouraging people and touring the country to support candidates for mayors and governors.
sasa tunahitaji nyota huyo wa muziki kuwatia moyo watu na kuzunguka nchi nzima kuwaunga mkono wagombea wa umeya na ugavana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i guess we need america to invade sa and fix this #failedcountry, hey.
nadhani tunahitaji marekani iivamie afrika kusini ili kurekebisha hali hii ya nchi kushindwa, ha ha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and we need bridges, roads, sports, industrial development, new work places...
na tunahitaji madaraja, barabara, michezo, maendeleo ya viwanja, maeneo mapya ya kazi...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
english wasn't our original language in the first place and we need to wake-up and go back to our principals with pride.
kiingereza hakikuwa lugha yetu ya asili na tunahitaji kuamka na kurejea misingi yetu wenyewe kwa fahari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but governments can not also offers everything there is other equipment that we need to share their parents or guardians.
lakini vilevile serikali haiwezi ikatoa kila kitu kuna vifaa vingine ambavyo tunawahitaji wazazi au walezi wachangie.
Last Update: 2015-03-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
at a time when ghana's democracy is in its infancy, the last thing we need is someone encouraging political violence.
katika wakati ambao demokrasia ya ghana ipo katika uchanga wake, kitu cha mwisho tunachohitaji ni mtu kushabikia ghasia za siasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
she says, "to discover freedom sometimes we need to go through very crazy moments or insanity sometimes to just realize what is freedom or how important freedom can be for our individual deep inner selves.
anasema, "kuugundua uhuru wakati mwingine tunahitaji kupitia nyakati ngumu au hata ukichaa wakati mwingine ili kuelewa nini maana ya uhuru na kwa jinsi gani uhuru waweza kuwa muhimu kwa utu wetu wa ndani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
i am zambian too and after watching this i think we need to come up together and try to fight for our country and not just watch the video and let go we need to come up with something,we are not going to say mmd or pf have done this ,,we can stand up and let our voices be heard ..
mimi ni m-zambia pia na baada ya kutazama filamu hii sasa ninadhani tunahitaji kuja pamoja tujaribu kupigania nchini yetu na sio kuishia tu kuiangalia filamu hii na kuacha mambo yaendelee jinsi yalivyo. tunahitaji kuja na kitu cha kufanya, si muda wa kusmea mmd au pf wamefanya hivi, tunaweza kusimama na kupaza sauti zetu zisikike...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: