From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
what born was i?
what born was i
Last Update: 2021-01-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dad, what born am i?
dad which born am i
Last Update: 2024-03-02
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
father at what position was i born i in your family
baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kwenye familia yako
Last Update: 2024-08-07
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
was i ever but a human messenger?"
kwani mimi ni nani isipo kuwa ni mwanaadamu na mtume?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
it was i who sought to tempt him. he is indeed truthful."
mimi ndiye niliye mtaka kinyume na nafsi yake, na hakika yeye ni katika wakweli.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and as awkward and flawed as he was, i will dearly miss him and his talents.
na hata kama alikuwa mtu wa ajabu na mwenye mapungufu, nitamkosa sana yeye pamoja na vipaji vyake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it was i who sought to seduce him, and indeed, he is of the truthful.
mimi ndiye niliye mtaka kinyume na nafsi yake, na hakika yeye ni katika wakweli.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it was i who tried to seduce him; he is surely an honest man."
mimi ndiye niliye mtaka kinyume na nafsi yake, na hakika yeye ni katika wakweli.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
was i unable even to be like this raven and find a way to cover the corpse of my brother?
nimeshindwa kuwa kama kunguru huyu nikamsitiri ndugu yangu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jesus said unto them, verily,verily, i say unto you, before abraham was, i am.
yesu akawaambia, "kweli nawaambieni, kabla abrahamu hajazaliwa, mimi niko."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
for i neither received it of man, neither was i taught it, but by the revelation of jesus christ.
wala mimi sikuipokea kutoka kwa binadamu, wala sikufundishwa na mtu. yesu kristo mwenyewe ndiye aliyenifunulia.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
forasmuch then as god gave them the like gift as he did unto us, who believed on the lord jesus christ; what was i, that i could withstand god?
basi, kama mungu amewapa pia watu wa mataifa mengine zawadi ileile aliyotupa sisi tulipomwamini bwana yesu kristo, je, mimi ni nani hata nijaribu kumpinga mungu?"
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
blessed was i on the day i was born, and blessed i shall be on the day i die and on the day i am raised to life again."
na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
i made them not present at the creation of the heavens and the earth nor at the creation of themselves; nor was i one to take the seducers as supporters;
sikuwashuhudisha kuumbwa kwa mbingu na ardhi, wala kuumbwa kwa nafsi zao. wala sikuwafanya wapotezao kuwa ni wasaidizi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
then when the bearer of glad tidings came, he laid the shirt on his face, he therefore immediately regained his eyesight*; he said, “was i not telling you?
basi alipo fika mbashiri na akaiweka kanzu usoni pake alirejea kuona.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pilate therefore said unto him, art thou a king then? jesus answered, thou sayest that i am a king. to this end was i born, and for this cause came i into the world, that i should bear witness unto the truth. every one that is of the truth heareth my voice.
hapo pilato akamwambia, "basi, wewe ni mfalme?" yesu akajibu, "wewe umesema kwamba mimi ni mfalme. mimi nimezaliwa kwa ajili hiyo; na kwa ajili hiyo nimekuja ulimwenguni kuwaambia watu juu ya ukweli. kila mtu wa ukweli hunisikiliza."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting