From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and when you strike, you strike mercilessly?
na mnapo tumia nguvu mnatumia nguvu kwa ujabari.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and when you strike you strike like tyrants?
na mnapo tumia nguvu mnatumia nguvu kwa ujabari.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
when you encounter those who disbelieve, strike at their necks. then, when you have routed them, bind them firmly.
basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he has instructed you in the book that, when you hear people deny or ridicule god's revelations, you must not sit with them unless they engage in other talk, or else you yourselves shall become like them.
naye amekwisha kuteremshieni katika kitabu hiki ya kwamba mnapo sikia aya za mwenyezi mungu zinakanushwa na zinafanyiwa kejeli, basi msikae pamoja nao, mpaka waingie katika mazungumzo mengine. hivyo mtakuwa nanyi mfano wao hao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
(v) and when you must turn away from them - (that is, from the destitute, the near of kin, the needy, and the wayfarer) - in pursuit of god's mercy which you expect to receive, then speak to them kindly.
na ikiwa unajikurupusha nao, nawe unatafuta rehema ya mola wako mlezi unayo itaraji, basi sema nao maneno laini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: