From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and he saith unto me, the waters which thou sawest, where the whore sitteth, are peoples, and multitudes, and nations, and tongues.
malaika akaniambia pia, "yale maji uliyoyaona pale alipokaa yule mzinzi, ni mataifa, watu wa kila rangi na lugha.
and there came one of the seven angels which had the seven vials, and talked with me, saying unto me, come hither; i will shew unto thee the judgment of the great whore that sitteth upon many waters:
mmoja wa wale malaika saba waliokuwa na bakuli akaja, akaniambia, "njoo, mimi nitakuonyesha adhabu aliyopewa yule mzinzi mkuu, mji ule uliojengwa juu ya maji mengi.