From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
he repeatedly showed a willingness to compromise tactics to realize his dream of equality in south africa.
mara nyingi alionesha utayari wake wa kutumia mbinu mbadala za kuhakikisha ndoto yake ya usawa nchini afrika kusini inafikiwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
not all of those have to do with the iranian government’s willingness to start dialogue with the us.
siyo zote ambazo zitategemea nia ya serikali ya irani ya kuanzisha mazungumzo na marekani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i'm starting to dislike my government very much, it shows so much fear, infantile logic and an alarming willingness to resort to violence.
ninaanza kuichukia sana serikali yangu, inaonesha hofu kubwa sana, mantiki ya kitoto na utashi unaostusha wa kutumia nguvu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i believe it was edom’s willingness to bring about a gentle change in ethiopia’s polarized political environment that suggested an affinity between her and the zone9 blogging collective.
ninaamini kuwa ilikuwa nidhamira chanya ya edom ya kuleta mageuzi sahihi ya siasa hafifu ya ethiopia ambayo pia ilipelekea yeye kuwa karibu zaidi na wanajumuia wa kublogu wa zone9.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
is this a demonstration of the internet's ability to instantly inform and engage tens of millions; and a hopeful sign that there is a willingness among those millions, to engage passionately with something more meaningful?
je, hii ni kuonyesha uwezo wa mtandao kuwajulisha na kuwafanya mamilioni washiriki; na alama ya matumaini kwamba kuna utashi miongoni mwa mamilioni hao, na kwa shauku kabisa kujihusisha na kitu chenye maana kubwa?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: