Results for wrongfully translation from English to Swahili

English

Translate

wrongfully

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

but when he has saved them, see how they become wrongfully insolent in the land.

Swahili

lakini akisha waokoa, mara wanafanya jeuri tena katika nchi bila ya haki. enyi watu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

that was because they rejected god’s revelations and wrongfully killed the prophets.

Swahili

na haya ni kwa sababu walikuwa wakiyakataa maneno ya mwenyezi mungu, na wakiwauwa manabii pasipo haki.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when he has delivered them, they begin, wrongfully to commit excesses in the land.

Swahili

lakini akisha waokoa, mara wanafanya jeuri tena katika nchi bila ya haki.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for this is thankworthy, if a man for conscience toward god endure grief, suffering wrongfully.

Swahili

maana kama mnavumilia maumivu ya mateso msiyostahili kwa sababu mwajua kwamba mungu anataka hivyo, basi mungu atawafadhili.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and whosoever will seek profanity therein wrongfully, we shall make him taste of a torment afflictive.

Swahili

na kila atakaye taka kufanya upotofu humo kwa dhulma, basi tutamwonjesha adhabu chungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he and his hosts became wrongfully proud in the land and they thought that they would never be returned to us.

Swahili

na alipanda kiburi yeye na majeshi yake katika nchi bila ya haki, na wakadhania kuwa hawatarudishwa kwetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and for their taking interest which had been prohibited to them, and for their consuming the wealth of others wrongfully.

Swahili

na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

believers, do not wrongfully consume each other's wealth, but trade with it by mutual consent.

Swahili

enyi mlio amini! msiliane mali yenu kwa dhulma, isipo kuwa iwe biashara kwa kuridhiana wenyewe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when he delivered them, behold! they rebel (disobey allah) in the earth wrongfully.

Swahili

lakini akisha waokoa, mara wanafanya jeuri tena katika nchi bila ya haki. enyi watu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he waxed proud in the land, he and his hosts, wrongfully; and they thought they should not be returned to us.

Swahili

na alipanda kiburi yeye na majeshi yake katika nchi bila ya haki, na wakadhania kuwa hawatarudishwa kwetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and for their taking usury—though they had been forbidden from it—and for eating up the wealth of the people wrongfully.

Swahili

na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and eat not up your property among yourselves in vanity, nor seek by it to gain the hearing of the judges that ye may knowingly devour a portion of the property of others wrongfully.

Swahili

wala msiliane mali zenu kwa baat'ili na kuzipeleka kwa mahakimu ili mpate kula sehemu ya mali ya watu kwa dhambi, na hali mnajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed many of the scribes and monks wrongfully eat up the people’s wealth, and bar [them] from the way of allah.

Swahili

hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na wanazuilia njia ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

[we said], "eat and drink what god has provided and do not act wrongfully in the land, spreading corruption."

Swahili

tukawaambia: kuleni na mnywe riziki ya mwenyezi mungu, wala msiasi katika nchi mkafanya uharibifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

do not wrongfully commit injustice in your religion, and do not follow the people who earlier went astray, and led many others astray, and wandered away from the straight path.”

Swahili

msipite kiasi katika dini yenu bila ya haki. wala msifuate matamanio ya watu walio kwisha potea tangu zamani, na wakawapoteza wengi, na wenyewe wakapotea njia iliyo sawa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"this is so because you went about exulting wrongfully in the land," (will they be told), "and you were insolent.

Swahili

haya ni kwa sababu mlikuwa mkijitapa katika ardhi pasipo haki, na kwa sababu mlikuwa mkijishaua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

a governing saeunri party lawmaker is under fire for wrongfully accusing a victim's parent of being an outsider "who wants to stir up turmoil and grudges against the government".

Swahili

mbunge wa chama tawala cha saeunri yuko kikaangoni kwa kumtuhumu kimakosa mzazi wa mmoja wa wahanga wa ajali hiyo kuwa mtu asiyehusika 'anayetaka kuchochea tu hasira dhidi ya serikali'.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and do not eat up your property among yourselves for vanities, nor use it as bait for the judges, with intent that ye may eat up wrongfully and knowingly a little of (other) people's property.

Swahili

wala msiliane mali zenu kwa baat'ili na kuzipeleka kwa mahakimu ili mpate kula sehemu ya mali ya watu kwa dhambi, na hali mnajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,800,725,317 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK